Matumizi ya Proforma Invoice ni nini?

Nilitaka nikushukie kama mwewe kwa ile comment yakp ya kwanza sikujua unamaanisha hiki mkuu.

Mambo mengi tu yaliyopo kazini mashuleni mnapigishwa msasa kijuujuu tu. Na mapya mengi unayakuta kazini bila kujiongeza ndo utaambiwa kilaza, shule ulisomea ujinga nk
 
Ndio hivyo Mkuu, elimu yetu ina shida kubwa sana kwenye ufundishwaji na application ya Kile tunachofundishwa kwenye maisha yetu ya kila siku. Usipo kuwa mtu wa kujiongeza basi siku zote utabaki nyuma.
Ila kinachisikitisha saivi vijana wamepata elimu ya bure (internet) lakini wanaitumia hovyo kwa mambo ya kijinga mitandaoni.
 
Wewe sasa ndo umejibu swali. Hawa wengine wanazunguluka mpaka wanatuchanganya💪💪💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…