Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Nilitaka nikushukie kama mwewe kwa ile comment yakp ya kwanza sikujua unamaanisha hiki mkuu.Hata mie sikuyajua mapema kama wewe ndio maana nimecomment kuhusu tatizo la elimu yetu haswa kwenye basics za business management and financial literacy. Hivi unajua zamani walikuwa wanasoma Bookkeeping na ilikuwa compulsory ila akatokea mpuuzi mmoja akafuta. Hii nchi kuna wapumbavu wameiharibu mnoo.
Mambo mengi tu yaliyopo kazini mashuleni mnapigishwa msasa kijuujuu tu. Na mapya mengi unayakuta kazini bila kujiongeza ndo utaambiwa kilaza, shule ulisomea ujinga nk