Matumizi ya Video Queens: Wasanii wa Bongo wanaboa

Kwa nn tunaweka wanawake weupe sisi ngozi nyeupe tuna tamaa na madaraka Muulize mseveni na Kagame rejea UK juzi
 
Video ya Ali Kiba Aje queen ni mweusi, hata kama sio weusi wa kinyakyusa
 
Mbona kawaida sana hao watoto rangi ya sheshe wapo kila kona
Iringa
Tabora
Tanga
Dom
So na wao ni wa tz so mkiona hivyo ujue ni kawaida sana.
Kilosa mashombe kama hao wapo kibao
Ni wa tz jamani ni rangi tu.
Hata hapa mtaani kwetu wapo kibao hadi wanaboa, juzi juzi nilikuwa Bukene Tabora hadi nikawakimbia - yaani hao mashombe wapo tu, hadi wengine wanajichubua
 
Hata hapa mtaani kwetu wapo kibao hadi wanaboa, juzi juzi nilikuwa Bukene Tabora hadi nikawakimbia - yaani hao mashombe wapo tu, hadi wengine wanajichubua
Ngoja nije huko nichukue wa kupiga nae picha tukimbize instagram
 
Reactions: bdo
Weusi wanaringa ukiwaweka uvideo vixen anachukua na jina la wimbo kabisa ndo inakuwa a.k.a yake na kuanza na kiki za ajabu mitaani
Daah bonge la point blaza. unanikumbusha akina Masogange
 
Wanaogopa vdeo kua na giza. Nyeupe inang'aa. Atlist m2 km AKA akiwa na mwanamke mweusi itaenda. Ss harmonize akashoot na cheusi mangala km mm jmn vdeo itakua na giza [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Wanaogopa vdeo kua na giza. Nyeupe inang'aa. Atlist m2 km AKA akiwa na mwanamke mweusi itaenda. Ss harmonize akashoot na cheusi mangala km mm jmn vdeo itakua na giza [emoji124][emoji124][emoji124]
Duuh. yani sie tunawapigania kumbe na nyie hamjikubali.?
 
Achen ushamba bhana km wakati unawapita naomben mtulie tu mtuache na Mwendokas wa warembo hvyo ndivyo vijana tunapenda
 
tena cha ajabu utakuta jina la wimbo ni TATU lakini kwenye kideo wanashuti na kademu kazuri ka kizungu, hahaha TATU WA KIZUNGU
 
namjua" ya shetta,amenishangaza na chaguo la video queen yule,hana mvuto kwa maoni yangu,kwenye kichupa kilekile kuna warembo wengine wakali kuliko yule light skinned,kuna watoto wenye asili ya kiafrika wazuri mara 2 ya yule mule lakini hawajawa main characters.halafu yule manzi hafiti mashahiri ya wimbo "ana kishepu kidogo" yule hana shape yoyote,"huko nyuma danadana" danadana itoke wapi mnalazimisha kuweka wazungu kwenye video hawana shape tunazozipenda waafrika.
 
white supremacy imetula sana aisee,hata kichupa cha blue ft kiba,nashangaa kumuona yule mzungu ambaye ni wa kawaida sana,hana mvuto wa kuwashinda hata dada zetu wa hapahapa bongo.at least yule wa rich mavoko kwenye kichupa cha "pacha wangu" ana mvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…