Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
- Thread starter
- #21
Tatizo chura anaruka sanaAfadhari video ya Chura anarukaruka. Ile nimeielewa kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo chura anaruka sanaAfadhari video ya Chura anarukaruka. Ile nimeielewa kidogo.
yani ni balaa sheikh. Wanasifia wazungu afu wanadate weusi+ jux @ uzuri wako View attachment 360892
Video ya Ali Kiba Aje queen ni mweusi, hata kama sio weusi wa kinyakyusaNimetoka kuangalia Video mpya ya Mr bluu "mboga saba" na nasikitika kusema kwamba sijaipenda sio kwamba nyimbo ni mbaya bali ni kwa haka katabia ka wasanii wa Bongo kuwaweka kwenye video Madem weupe(waarabu,wahindi,wazungu na wale wenye muonekano wa light skins). Hii inaonesha ni jinsi gani sisi watu weusi hatujikubali wenyewe na ndo mana sishangai kuona idadi ya wanawake wetu weusi wakijichubua ngozi zao.
Kila Msanii anataka ashoot na dem mweupe. Rejea video za Diamond, Alikiba,Ommy Dimpoz,Blue,Hamonaiza na wengine kibao. Hata hao wazungu wenyewd wanatushangaa kuona jinsi tunavyowanyenyekea. Mfano yule dem alioshuti "Bado" ya Hamonaiza ilitokea ajali kidogo basi dem akagoma, Wacha majamaa wampigie magoti kisa dem mweupe mpaka akakubali na dau wakapandishiwa.
ACHENI USHAMBA WASANII WA BONGO FLEVA
Hata hapa mtaani kwetu wapo kibao hadi wanaboa, juzi juzi nilikuwa Bukene Tabora hadi nikawakimbia - yaani hao mashombe wapo tu, hadi wengine wanajichubuaMbona kawaida sana hao watoto rangi ya sheshe wapo kila kona
Iringa
Tabora
Tanga
Dom
So na wao ni wa tz so mkiona hivyo ujue ni kawaida sana.
Kilosa mashombe kama hao wapo kibao
Ni wa tz jamani ni rangi tu.
Huyo vixen ni mbaya au ni huo weupe.+ jux @ uzuri wako View attachment 360892
tunataka tuone weusi wa Chokoleti bhanaVideo ya Ali Kiba Aje queen ni mweusi, hata kama sio weusi wa kinyakyusa
Ngoja nije huko nichukue wa kupiga nae picha tukimbize instagramHata hapa mtaani kwetu wapo kibao hadi wanaboa, juzi juzi nilikuwa Bukene Tabora hadi nikawakimbia - yaani hao mashombe wapo tu, hadi wengine wanajichubua
Daah bonge la point blaza. unanikumbusha akina MasogangeWeusi wanaringa ukiwaweka uvideo vixen anachukua na jina la wimbo kabisa ndo inakuwa a.k.a yake na kuanza na kiki za ajabu mitaani
Duuh. yani sie tunawapigania kumbe na nyie hamjikubali.?Wanaogopa vdeo kua na giza. Nyeupe inang'aa. Atlist m2 km AKA akiwa na mwanamke mweusi itaenda. Ss harmonize akashoot na cheusi mangala km mm jmn vdeo itakua na giza [emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechek sanaUshamba tu.Black the berry the sweeter the juice.