yani huyo atakaechaguliwa inabidi aambiwr mie nina mchango mkubwa sanaPoa unastahili tuzo kwakweli
watu weusi tunajishusha sana aseeHata wanamuzik Black Americans video Queens wao wengi ni chotara wanaong'aa naona ni kasumba globally
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu mnapenda ujiko kama Le Mutuz. Eti wamemfikishia ujumbe wako!
yale yale. huoni yule dem alikuja kumpoza mwishoni alikuwa mwarabu kokovipi... video ya mbagala kulikua na wazungu wangapi?
Wazo zuri sana nadhani My next thread itabidi niandike kuhusu hilo na naamini ataoaHuwezi kutumia demu kama mzungu kwenye wimbo wenye mahadhi ya kiafrika.
Mshauri aoe,akifanya hivyo nitajua ushauri wako umesikilizwa
mwambie akulipe kwa ajili ya ushauri huoLazma kafikishiwa ujumbe mana hata hiyo video tungeona wazungu tu
Okay nitamwambiamwambie akulipe kwa ajili ya ushauri huo
Nyimbo ngapi diamond ameweka wazungu na ngapi ameweka waafrica?utakuwa ulijitia upofu,ngoma kama hizi;Kesho,nataka kulewa,mbagala,kamwambie,je,utanipenda na nyingi kibao ametumia waafrica!Lazma kafikishiwa ujumbe mana hata hiyo video tungeona wazungu tu
Nataka Kule wa kaweka nus_u_nus Jack Patrick. Ni shombe yule au we kipofu?mbagala kaweka muarabu koko.Moyo wangu kaweka demu maji ya kunde (Natasha)Nyimbo ngapi diamond ameweka wazungu na ngapi ameweka waafrica?utakuwa ulijitia upofu,ngoma kama hizi;Kesho,nataka kulewa,mbagala,kamwambie,je,utanipenda na nyingi kibao ametumia waafrica!
Wewe una makengeza,mbagala yule demu no muarabu?Kwahiyo mnataka aweke mtu mweusi tii ndio mridhike?Nyie vp,anachoangalia ni video yake inataka nini!Angefanya kama mnavyotaka nyinyi asingefika hapo alipoNataka Kule wa kaweka nus_u_nus Jack Patrick. Ni shombe yule au we kipofu?mbagala kaweka muarabu koko.Moyo wangu kaweka demu maji ya kunde (Natasha)
yule dem aliekuja kwa mondi mwisho wa video ya mbagala ni mweusi ama mwarabu.?Wewe una makengeza,mbagala yule demu no muarabu?Kwahiyo mnataka aweke mtu mweusi tii ndio mridhike?Nyie vp,anachoangalia ni video yake inataka nini!Angefanya kama mnavyotaka nyinyi asingefika hapo alipo