Matumizi ya Video Queens: Wasanii wa Bongo wanaboa

vipi... video ya mbagala kulikua na wazungu wangapi?
 
Huwezi kutumia demu kama mzungu kwenye wimbo wenye mahadhi ya kiafrika.
Mshauri aoe,akifanya hivyo nitajua ushauri wako umesikilizwa
 
Lazma kafikishiwa ujumbe mana hata hiyo video tungeona wazungu tu
Nyimbo ngapi diamond ameweka wazungu na ngapi ameweka waafrica?utakuwa ulijitia upofu,ngoma kama hizi;Kesho,nataka kulewa,mbagala,kamwambie,je,utanipenda na nyingi kibao ametumia waafrica!
 
Hongera sana, ulitoa wazo zuri maana niliusoma ule uzi. Hongera sana. Hapa ni kila mtu anapita hapa maana hapa utakutana na pumba na mchele, miaka ile ya mwanzo ya JFulikua unakuta nondo ngumu sana humu ndani, unazisoma hadi unatetemeka.... nowadays aaaaghh full kujiachia
 
muonekano wa kama MIRIAM ODEMBA, zamani, au HAPPINESS MAGESE
 
hongera sana mkuu haya tuma salam kwa watu wako watatu
 
Nyimbo ngapi diamond ameweka wazungu na ngapi ameweka waafrica?utakuwa ulijitia upofu,ngoma kama hizi;Kesho,nataka kulewa,mbagala,kamwambie,je,utanipenda na nyingi kibao ametumia waafrica!
Nataka Kule wa kaweka nus_u_nus Jack Patrick. Ni shombe yule au we kipofu?mbagala kaweka muarabu koko.Moyo wangu kaweka demu maji ya kunde (Natasha)
 
Wewe una makengeza,mbagala yule demu no muarabu?Kwahiyo mnataka aweke mtu mweusi tii ndio mridhike?Nyie vp,anachoangalia ni video yake inataka nini!Angefanya kama mnavyotaka nyinyi asingefika hapo alipo
 
yule dem aliekuja kwa mondi mwisho wa video ya mbagala ni mweusi ama mwarabu.?
 
Back
Top Bottom