shaks001 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,246 Reaction score 1,070 Jul 9, 2016 #101 Nyimbo(nyingi) Wimbo(mmoja)
Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 845 Jul 9, 2016 Thread starter #102 msweet said: Sikumbuki Mara ya mwisho ni lini mimekaa Mbele ya TV na kuangalia BONGO FLEVA..... Click to expand... Jaribu kuangalia uone vijana wetu wanavyoshobokea wazungu
msweet said: Sikumbuki Mara ya mwisho ni lini mimekaa Mbele ya TV na kuangalia BONGO FLEVA..... Click to expand... Jaribu kuangalia uone vijana wetu wanavyoshobokea wazungu
Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 845 Jul 9, 2016 Thread starter #103 shaks001 said: Nyimbo(nyingi) Wimbo(mmoja) Click to expand... Sijakuelewe asee
shaks001 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,246 Reaction score 1,070 Jul 9, 2016 #104 Sele Mkonje said: Sijakuelewe asee Click to expand... Usitumie neno "nyimbo" hii wakati unazungumzia wimbo mmoja.Maana yake kwa ufupi "nyimbo"ni wingi wa neno "wimbo"(umoja).Nadhani umenielewa.
Sele Mkonje said: Sijakuelewe asee Click to expand... Usitumie neno "nyimbo" hii wakati unazungumzia wimbo mmoja.Maana yake kwa ufupi "nyimbo"ni wingi wa neno "wimbo"(umoja).Nadhani umenielewa.
Sele Mkonje JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 643 Reaction score 845 Jul 10, 2016 Thread starter #105 shaks001 said: Usitumie neno "nyimbo" hii wakati unazungumzia wimbo mmoja.Maana yake kwa ufupi "nyimbo"ni wingi wa neno "wimbo"(umoja).Nadhani umenielewa. Click to expand... Asante sana na sasa nimekuelewa. wakati ujao nitarekebisha
shaks001 said: Usitumie neno "nyimbo" hii wakati unazungumzia wimbo mmoja.Maana yake kwa ufupi "nyimbo"ni wingi wa neno "wimbo"(umoja).Nadhani umenielewa. Click to expand... Asante sana na sasa nimekuelewa. wakati ujao nitarekebisha