Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuangalia uone vijana wetu wanavyoshobokea wazunguSikumbuki Mara ya mwisho ni lini mimekaa Mbele ya TV na kuangalia BONGO FLEVA.....
Sijakuelewe aseeNyimbo(nyingi)
Wimbo(mmoja)
Usitumie neno "nyimbo" hii wakati unazungumzia wimbo mmoja.Maana yake kwa ufupi "nyimbo"ni wingi wa neno "wimbo"(umoja).Nadhani umenielewa.Sijakuelewe asee
Asante sana na sasa nimekuelewa. wakati ujao nitarekebishaUsitumie neno "nyimbo" hii wakati unazungumzia wimbo mmoja.Maana yake kwa ufupi "nyimbo"ni wingi wa neno "wimbo"(umoja).Nadhani umenielewa.