damian marijani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2010
- 695
- 466
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Haya kwa kiswahili yanaitwaje?
Matunda Damu!
Nyanya chungu!. Nyanya haziwi chungu,kiongozi.Kama nyanya chungu eeeh🙄🙄🙄
Nyanya chungu!. Nyanya haziwi chungu,kiongozi.
Matunda haya yanaitwa tamarillo asili yake ni milima ya Andes katika nchi za Peru, Chile, Equador, Colombia na Bolivia. Yanalimwa sana kibiashara nchi ya New Zealand ambapp wanasafirisha nje kama tani 2000 kwa mwaka.Haya kwa kiswahili yanaitwaje? View attachment 136599View attachment 136600View attachment 136601View attachment 136602
Taratibu kiongozi,labda nawe ngogwe, waziita 'nyanya chungu.'Weee hujui nyanya chungu? Ndio jina lake
Aisee umenifanya mdomo mzima ujae mate.
hayo huitwa matunguja mkuu.aisee umenifanya mdomo mzima ujae mate.
Weee hujui nyanya chungu? Ndio jina lake
Sisi watu wa Tanga tunaita nyanya ntole au tungule