Matunda haya mnayafahamu?

Matunda haya mnayafahamu?

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
Matunda haya yanaitwa tamarillo asili yake ni milima ya Andes katika nchi za Peru, Chile, Equador, Colombia na Bolivia. Yanalimwa sana kibiashara nchi ya New Zealand ambapp wanasafirisha nje kama tani 2000 kwa mwaka.Haya kwa kiswahili yanaitwaje? images.jpgimages (1).jpgimages (2).jpgimages (3).jpg
 
Hiyo picha ya 3 imenikumbusha kuyaona kanda ya kaskazini
 
Tanzania pia yapo. Yanapatikana sehemu za baridi na milimani. Iringa, Mbeya, kilimanjaro,lushoto na Arusha yanapatikana hayo. Ni jamii ya passions.
 
Yanaitwa tumante........tree tomato.......
 
Kwetu Lushoto yanaitwa "magoghwe". Kisambaa na Kipare. Kiswahili chake sijui. Ni jamii ya nyanya chungu. Unayachoma unatafunia ugali. Dah, home sweet home!!!
 
Back
Top Bottom