Matunda mchanganyiko kwa afya yako

Matunda mchanganyiko kwa afya yako

Ndizi, Papai, Tikiti, tango, embe, parachichi, chungwa! (depending na season mchanganyiko hu-vary!)
 
hii labda itanisaidia nipende papai. najichukia kwa kuchagua vyakula kama mtoto, manake sikuli papai na uji wa mahindi tuuu!
BAK jaribu kula papai lililochuruzikiwa radha ya mchuzi wa ndimu. Linapendeza sana kinywani!

teh teh teh. Unaweza kushinda njaa kwa kinyaa cha kuingia sehemu ya kula. acha mamii
kwi kwi kwiiiiii, bahati mbaya sijafika brazil wala india, sasa hata sipati picha kabisaaaaaa.....................
 
Ndizi, Papai, Tikiti, tango, embe, parachichi, chungwa! (depending na season mchanganyiko hu-vary!)

Jamani hili tango nalipenda sana kwenye salad alafu nkaskia lapunguza gesi tumboni ila nkila ndo kitumbo kinajaa gesi weee inauma hadi ninywe warm water

Cc mkwe wangu MziziMkavu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Jamani hili tango nalipenda sana kwenye salad alafu nkaskia lapunguza gesi tumboni ila nkila ndo kitumbo kinajaa gesi weee inauma hadi ninywe warm water

Cc mkwe wangu MziziMkavu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

I guess it has the same effect on me. Sema mimi hu-assume ni kwa kuwa nimeshiba..lol!
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!! Mapishi ya kisiku hizi hayo 🙂🙂, ila niliwahi kula wali kwa mchuzi wa nyama halafu juu kukamuliwa machungwa aisee utamu wake wachaaa!!!!!

Jana tulichanganyiwa parachichi mix na tango halafu ikakamuliwa chungwa.
sasa bwana tulikuwa tumepika wali na maharage, tulilazimishwaje kila mtu aweke hiyo mix ya matunda kwenye mchanganyiko wa wali maharage.........
wapishi wengine ni bora wakae huko huko boarding school, maana wakija home mnalazimishwa kula walichopika, hata kama hutaki.
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!! Mapishi ya kisiku hizi hayo 🙂🙂, ila niliwahi kula wali kwa mchuzi wa nyama halafu juu kukamuliwa machungwa aisee utamu wake wachaaa!!!!!
nakuambia....... mapishi mengine naona kama ya kubuniwa tu........ yaani tunapikiwa mpaka tunakoma, na lazima mukule
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I guess it has the same effect on me. Sema mimi hu-assume ni kwa kuwa nimeshiba..lol!

Umeona eeeh basi hapo tumbo litaimba nyimbo zote nachukiajeem.......ukishakuja cucumber taarisha chai ya tangawizi usiweke majani ili utoe hiyo gesi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
nakuambia....... mapishi mengine naona kama ya kubuniwa tu........ yaani tunapikiwa mpaka tunakoma, na lazima mukule

Vyakula vyengine vitamu sana vikichanganywa kuna wali flani wa kihindi unawekwa beef/chicken alafu zawekwa beans za aina 4,spenachi na vikorombwezo vyengine mtamu balaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom