Matunda mchanganyiko kwa afya yako

Matunda mchanganyiko kwa afya yako

Umeona eeeh basi hapo tumbo litaimba nyimbo zote nachukiajeem.......ukishakuja cucumber taarisha chai ya tangawizi usiweke majani ili utoe hiyo gesi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

You mean tangawizi ONLY? hiyo itakuwa chai sasa??
 
You mean tangawizi ONLY? hiyo itakuwa chai sasa??

Waweza weka mchai chai na spices nyengine....let's call it maji ya tangawizi lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mimi nakupenda kula matunda bia kuweka chochote ndo nafurahia nipate ladha halisi za matunda na si mchaguzi nakula matunda karibia yote kwa kweli....ila huwa natengenza sana smoothie kwaajili ya princess ya (matunda na juice) hapo naweza weka mananasi,maembe,ndizi,apple,peasi na juisi ya apple ya boksi basi inakuwa na ladha nzuri sanaa au (matunda na yoghurt) au (matunda,maziwa na whole cream) kama frozen stawberries/berries mix, banana,maziwa na whole cream inakuwa shake ya nguvu....
 
Dah!!!! Inakuwaje hupendi papai best? Yaani ukilikuta lile tamu unaweza kula hata nusu papai kabla ya kuendelea na vikolombwezo vingine vya breakfast.

Napenda sana smoothies, na nachanganya na mtindi au icecream.

mimi sipendi papai, lakini nachanganya matunda yoyote tu sina combination maalum. Ila apples zilizokatwa na kumwagiwa apple flavoured yoghurt is my favourite
 
Dah!!!! Inakuwaje hupendi papai best? Yaani ukilikuta lile tamu unaweza kula hata nusu papai kabla ya kuendelea na vikolombwezo vingine vya breakfast.

Lile tamu hasa limewiva vizuri alafu wala kwa kijiko nkimaliza apo hata breakfast sitaki tena nakunywa maziwa yangu tu kwisha habar

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie bado shurti ifuate heavy breakfast 🙂🙂

Lile tamu hasa limewiva vizuri alafu wala kwa kijiko nkimaliza apo hata breakfast sitaki tena nakunywa maziwa yangu tu kwisha habar

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Napenda sana smoothies, na nachanganya na mtindi au icecream.

mimi sipendi papai, lakini nachanganya matunda yoyote tu sina combination maalum. Ila apples zilizokatwa na kumwagiwa apple flavoured yoghurt is my favourite
hapo ndo penyewe ukiblend na yoghut ni tamu sana
 
Waweza weka mchai chai na spices nyengine....let's call it maji ya tangawizi lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Maji ya tangawizi would be right...naweza tia sukari pia?
 
Farkhina unanitia hamu niko Rufiji kijijini kabisa kikazi namiss kila kitu
 
Jana tulichanganyiwa parachichi mix na tango halafu ikakamuliwa chungwa.
sasa bwana tulikuwa tumepika wali na maharage, tulilazimishwaje kila mtu aweke hiyo mix ya matunda kwenye mchanganyiko wa wali maharage.........
wapishi wengine ni bora wakae huko huko boarding school, maana wakija home mnalazimishwa kula walichopika, hata kama hutaki.

Lemme guess huyu mpishi aakwua mwanao aliyeko likizo!
 
Back
Top Bottom