masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
he he heeeee, za brasil wanapendaga sana kumix na chachandu........ kama si mpenzi wa pilipili itakuwa imekula kwako best
kwi kwi kwiiiiii, bahati mbaya sijafika brazil wala india, sasa hata sipati picha kabisaaaaaa.....................hehehe, ntakuwa naagiza na barafu pia.
sijui kwa nini huwa nawaza brazili kuchafuuu kama uhindini hahaha
BAK jaribu kula papai lililochuruzikiwa radha ya mchuzi wa ndimu. Linapendeza sana kinywani!
kwi kwi kwiiiiii, bahati mbaya sijafika brazil wala india, sasa hata sipati picha kabisaaaaaa.....................
Ndizi, Papai, Tikiti, tango, embe, parachichi, chungwa! (depending na season mchanganyiko hu-vary!)
Jamani hili tango nalipenda sana kwenye salad alafu nkaskia lapunguza gesi tumboni ila nkila ndo kitumbo kinajaa gesi weee inauma hadi ninywe warm water
Cc mkwe wangu MziziMkavu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jana tulichanganyiwa parachichi mix na tango halafu ikakamuliwa chungwa.
sasa bwana tulikuwa tumepika wali na maharage, tulilazimishwaje kila mtu aweke hiyo mix ya matunda kwenye mchanganyiko wa wali maharage.........
wapishi wengine ni bora wakae huko huko boarding school, maana wakija home mnalazimishwa kula walichopika, hata kama hutaki.
nakuambia....... mapishi mengine naona kama ya kubuniwa tu........ yaani tunapikiwa mpaka tunakoma, na lazima mukuleKwi kwi kwi kwi lol!!!!! Mapishi ya kisiku hizi hayo ππ, ila niliwahi kula wali kwa mchuzi wa nyama halafu juu kukamuliwa machungwa aisee utamu wake wachaaa!!!!!
Unatengeneza bao tu
nakuambia....... mapishi mengine naona kama ya kubuniwa tu........ yaani tunapikiwa mpaka tunakoma, na lazima mukule
BAK jaribu kula papai lililochuruzikiwa radha ya mchuzi wa ndimu. Linapendeza sana kinywani!
I guess it has the same effect on me. Sema mimi hu-assume ni kwa kuwa nimeshiba..lol!
nakuambia....... mapishi mengine naona kama ya kubuniwa tu........ yaani tunapikiwa mpaka tunakoma, na lazima mukule