bora yako hununui sumatek,unajichumia mwenyewe.nakula vyote ila kimoja kimoja
nikiingia mgombani natandika kichani
nikitungua parachichi mbili
papai likiiva natungua so naeza kula moja zima
hhahhaah
Asprin
Mentor
miss chagga
Umeona eeeh basi hapo tumbo litaimba nyimbo zote nachukiajeem.......ukishakuja cucumber taarisha chai ya tangawizi usiweke majani ili utoe hiyo gesi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hongera Mama mkwe kwa mapishi yako farkhinaJamani hili tango nalipenda sana kwenye salad alafu nkaskia lapunguza gesi tumboni ila nkila ndo kitumbo kinajaa gesi weee inauma hadi ninywe warm water
Cc mkwe wangu MziziMkavu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
You mean tangawizi ONLY? hiyo itakuwa chai sasa??
sijambo nipigie simu leo jioni nime kumiss mama mkwe wanguahsante hujambo mkwe wangu?
Sent from my blackberry 9320 using jamiiforums
sijambo nipigie simu leo jioni nime kumiss mama mkwe wangu
Leo hebu kila mtu a share unachanganyaje matunda? au wala moja moja
Mie leo nimechanganya strawberries,papai,zabibu na apple vyote ratio sawa then naweka yogurt juu nakula
Napenda sana smoothies, na nachanganya na mtindi au icecream.
mimi sipendi papai, lakini nachanganya matunda yoyote tu sina combination maalum. Ila apples zilizokatwa na kumwagiwa apple flavoured yoghurt is my favourite
Dah!!!! Inakuwaje hupendi papai best? Yaani ukilikuta lile tamu unaweza kula hata nusu papai kabla ya kuendelea na vikolombwezo vingine vya breakfast.
Lile tamu hasa limewiva vizuri alafu wala kwa kijiko nkimaliza apo hata breakfast sitaki tena nakunywa maziwa yangu tu kwisha habar
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hapo ndo penyewe ukiblend na yoghut ni tamu sanaNapenda sana smoothies, na nachanganya na mtindi au icecream.
mimi sipendi papai, lakini nachanganya matunda yoyote tu sina combination maalum. Ila apples zilizokatwa na kumwagiwa apple flavoured yoghurt is my favourite
Mimi napenda ndizi, tikiti na icecreamπ
Ice cream ipi Mrs Kharusy? Vanilla ice cream au ya ukwaju? π
Waweza weka mchai chai na spices nyengine....let's call it maji ya tangawizi lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jana tulichanganyiwa parachichi mix na tango halafu ikakamuliwa chungwa.
sasa bwana tulikuwa tumepika wali na maharage, tulilazimishwaje kila mtu aweke hiyo mix ya matunda kwenye mchanganyiko wa wali maharage.........
wapishi wengine ni bora wakae huko huko boarding school, maana wakija home mnalazimishwa kula walichopika, hata kama hutaki.
You are right.......Lemme guess huyu mpishi aakwua mwanao aliyeko likizo!