Matunda ya CEO mpya TISS

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Tunatarajia ajenge TISS imara kuangalia fursa za kiuchumi. Tunapeleka SGR mpaka Burundi na Congo, yule muhuni aliyeshinda uchaguzi juzi kazi yake ni ku-destabilise Congo na Burundi, na akifanya hivyo, atakuwa anaathiri uwekezaji wetu wa matrilioni katika reli hiyo. We must have a strategic security partnership with Congo and Burundi kuhakikisha ziko salama katika mikono salama. Maana jamaa hachelewi kuanzisha vita sehemu tunayopitisha reli yetu.

and if possible, tutingishe mizizi ya huyo jamaa, in a long term plan.

Hivi vingine vya juzi ni kawaida tu ambavyo vinafanywa na mamlaka ya usalama wa serikali
 
Hamuna kitu dogo ccm wamefaili vibaya pamoja na tiss yao wanaenda kuanguka vibaya
 
Unaakili sana; tatizo la Congo & Burundi tusipo wasaidia sisi kama Tz utakuja ku cost In long run.
 
Huyu muhuni mnamlea ninyi munawapa vyeo watu wake kwenye salekari yenu eti mtagain political popularity
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…