Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,632
- 3,150
duuu aiseee sio poaAnayafanyie kazi kivipi?
Kwa kuyaangamiza au kwa kuyahamasisha??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuu aiseee sio poaAnayafanyie kazi kivipi?
Kwa kuyaangamiza au kwa kuyahamasisha??
Tiss ina CEO tangu lini?CEO mpya TISS hajapitisha hata week mbili tunaona haya tuliyaona.
Safi sana anaijua kazi yake na anaonekana ana uchungu na Taifa hili.
Rai yangu haya mambo yasiishie juu kwa juu wapigaji wote wa pesa za umma wawajibishwe.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
NB. Ila CCM wana matusi yao usishangae mbeleni huko wakarudi tena mzigoni kama ilivyokuwa kwa mkuu wa utekaji.
Unamaanisha Nini??Tiss ina CEO tangu lini?
AyaangamizeAnayafanyie kazi kivipi?
Kwa kuyaangamiza au kwa kuyahamasisha??
Huyu NGONGOTI anataka kutawala East Africa, inasemekana CEO mpya wa timu kubwa ya Tanzania ni Kipenyo kutoka kwa NGONGOTI.Tunatarajia ajenge TISS imara kuangalia fursa za kiuchumi. Tunapeleka SGR mpaka Burundi na Congo, yule muhuni aliyeshinda uchaguzi juzi kazi yake ni ku-destabilise Congo na Burundi, na akifanya hivyo, atakuwa anaathiri uwekezaji wetu wa matrilioni katika reli hiyo. We must have a strategic security partnership with Congo and Burundi kuhakikisha ziko salama katika mikono salama. Maana jamaa hachelewi kuanzisha vita sehemu tunayopitisha reli yetu.
and if possible, tutingishe mizizi ya huyo jamaa, in a long term plan.
Hivi vingine vya juzi ni kawaida tu ambavyo vinafanywa na mamlaka ya usalama wa serikali
DGIS ndio CEO?Unamaanisha Nini??
Hivi DGIS ni mtu mwenye majukumu gani hasa huko??
Acha bangiTiss ina CEO tangu lini?