LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
mdee na bulaya walikuwa wanawake wa chuma wakaingiwa kutu na sasa haijulikana kama wapo CHADEMA au CCMWanawake wanaojitambua nchi hii wapo CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdee na bulaya walikuwa wanawake wa chuma wakaingiwa kutu na sasa haijulikana kama wapo CHADEMA au CCMWanawake wanaojitambua nchi hii wapo CHADEMA.
Tatizo moja wapo kubwa la tanzania ambalo ndio chanzo hasa cha kila uozo uliopo nchi hii ni kwamba watu hawafanyi maamuzi kwa kuangalia ustawi na future ya taifa hili hasa linapokuja suala la teuzi.Sasa na nyie mngekomaa kwenye mifumo yenu kutengeneza na kuweka watu competent hasa kwenye ile idara nyeti ila wengi walivyokua viazi wakaamua kucheza nayo kama walivyokua wanacheza na mashirika ya uma ....wakajaza ndugu zao wengi hata weledi wa hicho kitengo hawana, yani mambo yakawa ni undugu na connection tu umepita......haya sasa hali inakuja kama sasa huyu kajipanga hivi huyu vile na hili jambo lilianza kuonekana muda tu sema watu wakawa wanajali matumbo yao na koo zao
Sebene ndombolo na kukata mauno ndo kazi wanaweza kutawaliwa kunawahusuChe Guevara alikwenda Congo kusaidia mapinduzi ya kizalendo! Akakuta wanajeshi wanakula pombe na Waawake daily!
Congo ni chi ya Bata tu, Sio kazi kazi! Watatawaliwa milele!
Kuwa tomboy ndio kujielewa .. unajua uko na hayo mahaba ya kupitiliza hadi unacomment bila kushirikisha viongo halisa.Wanawake wanaojitambua nchi hii wapo CHADEMA.
Nani Tom boy yuko CHADEMA?Kuwa tomboy ndio kujielewa .. unajua uko na hayo mahaba ya kupitiliza hadi unacomment bila kushirikisha viongo halisa.
UnajihumuzaNani Tom boy yuko CHADEMA?
Hapo kwenye Wagner!Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda.
Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa.
Sote tunafahamu namna Kagame alivyofanikiwa kutengeneza picha chanya Kimataifa kuhusu nchi yake.
Kagame alifanya hayo kwa makusudi huku akiendelea kunufaika na kutotulia kwa Congo Mashariki.
Kazi kubwa iliyofanywa na Mawaziri Wawili wa Congo ambao ni wana Diaspora, Judith Suminwa Tuluka (Waziri Mkuu wa Congo) na Therese Kayikwamba Wagner ( Waziri wa Mambo ya Nje) imefanikiwa kumu outsmart Kagame na kumfanya awe uchi kwenye jumuiya ya Kimataifa hadi kufikia kuwekewa vikwazo na Mataifa ya Marekani, Canada, Uingereza, Ubelgiji na Ujerumani.
Mawaziri hawa kwa nyakati tofauti waliweza kutumia uzoefu wao kimataifa kuushawishi ulimwengu kuamini kuwa shida ya Congo Mashariki ni Kagame na sio siasa za ndani za Congo DRC.
Kwenye hili, Tanzania tuna la kujifunza sana hasa namna ya kuwatumia Diaspora ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa branded kuwa sio Wazalendo.
Kwenye hili tumejifunza kuwa Diaspora wanaweza kuwa Wazalendo kwa kulipigania Taifa kuliko watu waliopo ndani. Mfano Congo Jeshi linakimbia na kuwaachia Rwanda /M23 maeneo wakati hawa mawaziri Diaspora wanapambana Rwanda awekewe vikwazo na wanafanikiwa.
Tanzania tujifunze namna ya kuwatumia Diaspora kwa Congo DRC.
Picha:
Waziri Mkuu wa Congo DRC Bi Judith Suminwa Tuluka na Waziri wa Mambo ya Nje wa Congo DRC Therese Kayikwamba Wagner!
View attachment 3264273View attachment 3264274
Yuko vizuri huyu dada/ mama acha kabisa!Hapo kwenye Wagner!
Vikwazo hivi vitamrudisha nyuma nduli KG!Yuko vizuri huyu dada/ mama acha kabisa!
Namkubali sana huyu dada Therese Kayikwamba,siku ya kwanza kumsikiliza nilitamani niwe na binti kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza na kujiamini huku akitabasamuCongo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda.
Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa.
Sote tunafahamu namna Kagame alivyofanikiwa kutengeneza picha chanya Kimataifa kuhusu nchi yake.
Kagame alifanya hayo kwa makusudi huku akiendelea kunufaika na kutotulia kwa Congo Mashariki.
Kazi kubwa iliyofanywa na Mawaziri Wawili wa Congo ambao ni wana Diaspora, Judith Suminwa Tuluka (Waziri Mkuu wa Congo) na Therese Kayikwamba Wagner ( Waziri wa Mambo ya Nje) imefanikiwa kumu outsmart Kagame na kumfanya awe uchi kwenye jumuiya ya Kimataifa hadi kufikia kuwekewa vikwazo na Mataifa ya Marekani, Canada, Uingereza, Ubelgiji na Ujerumani.
Mawaziri hawa kwa nyakati tofauti waliweza kutumia uzoefu wao kimataifa kuushawishi ulimwengu kuamini kuwa shida ya Congo Mashariki ni Kagame na sio siasa za ndani za Congo DRC.
Kwenye hili, Tanzania tuna la kujifunza sana hasa namna ya kuwatumia Diaspora ambao kwa nyakati tofauti wamekuwa branded kuwa sio Wazalendo.
Kwenye hili tumejifunza kuwa Diaspora wanaweza kuwa Wazalendo kwa kulipigania Taifa kuliko watu waliopo ndani. Mfano Congo Jeshi linakimbia na kuwaachia Rwanda /M23 maeneo wakati hawa mawaziri Diaspora wanapambana Rwanda awekewe vikwazo na wanafanikiwa.
Tanzania tujifunze namna ya kuwatumia Diaspora kwa Congo DRC.
Picha:
Waziri Mkuu wa Congo DRC Bi Judith Suminwa Tuluka na Waziri wa Mambo ya Nje wa Congo DRC Therese Kayikwamba Wagner!
View attachment 3264273View attachment 3264274
Yaani nilimlinganisha huyo dada Therese na kile kingereza cha debate cha Makamba alichokuwa anasifiwa kule X nikasema Mungu tusamehe TanzaniaUkimwangalia yule Waziri wa Mambo ya Nje wa Congo alafu ukimlinganisha na huyu wa kwetu unajisemea tu Mungu ihurumie Tanzania. Fanya jambo.
Kama alivyomfanya Membe🤣🤣🤣Kagame atapita nao - ama sumu, risasi au kudondoka kutoka ghorofani - po pote walipo duniani!
Yuko fluent vizuri sana kwenye Kiingereza na Kifaransa. Kule UN Security Council anashushaga madini hadi Balozi wa Rwanda anatafutaga pa kutokea🤣🤣Yaani nilimlinganisha huyo dada Therese na kile kingereza cha debate cha Makamba alichokuwa anasifiwa kule X nikasema Mungu tusamehe Tanzania
Anaandika akiwa anatetemeka, sijui kwa nini 😁😁!!Andika vizuri kwanza we Kagame puppet.
Katika dunia ya sasa bado una mawazo kuwa vita ya msituni ngumu?Timueni vumbi zaidi muone na yeye ataleta nini uzuri jamaa sio wapiga makelele ila kuwa suprise watu wanajua.....upande ule ni makelele tu kama walivyozoea huyo ni mzee wa kimyakimya ....kwani kuna aliefikiria kua M23 itakuja kua na nguvu kiasi hiki, watu walipiga kazi kimyakimya akawaacha wapiga kelele wajifariji.......mchezo kwa sasa sio rahisi maana players wa sasa sio wa magharibi tu bado kuna kete za mashariki mchina na mrusi......na marekani kavamia maslahi ya mchina kwa Tshisekedi...........na wamagharibi wameshazoea vita za mijini na jagwani.....vita za msituni sio za lelemama kule Vietnam tu walielewa mziki na walikua wanapigana na kataifa kiuchumi kapokapo tu.....jamaa ameshawavuta raia wa mashariki ya kongo upande wake, kupambana na mtu ambae tayari ana sapot ya wananchi sio rahisi tena mazingira yenyewe msituni,, nyie pigeni makelele na mjipeleke tu huko ila kila mtu ana suprise package yake na wamefanya walilofanya kwa sababu wanajiamini
Waulize wanajeshi wa DRC na SA.....vita nyepesi watu wasingenunaKatika dunia ya sasa bado una mawazo kuwa vita ya msituni ngumu?
Weee sio zaidi ya wale waliotetemeshwa kule DRCAnaandika akiwa anatetemeka, sijui kwa nini 😁😁!!
Tuna Rais mwanamama ni mfano wa Dunia wewe unaleta stori za hao vibaraka wa diaspora 😂😂Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda.