Matunda ya Diaspora: Namna Wanawake Diaspora 2 walivyoweza kumuweka Kagame na Rwanda kwenye kona. Tanzania tuna la kujifunza

Achaga masikhara kwenye mambo ya msingi basi. Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa SADC kamfanya nini Kagame zaidi ya kumshindwa na kuishia kumlamba miguu?
Wewe ulitaka amfanyaje? Amemlamba miguu kiaje? M23 wakishika Nchi Kuna hasara πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tutaipata?
 
Wewe ulitaka amfanyaje? Amemlamba miguu kiaje? M23 wakishika Nchi Kuna hasara πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tutaipata?
Kwa hiyo Tanzania hatujapoteza wanajeshi wetu Congo?

Au maisha ya Wanajeshi wetu hayamuumi kama Amiri Jeshi Mkuu?
 
Kwa ninamvofahamu Tall hawa wamama ni suala la muda tu...
 
Ni kweli wakati nipo Germany kuna mzee alikuja masikan akawa ananiambia kuwa amewekeza sana na kuisaidia rwanda kwenye solar industry sana na ndio maana Rwanda inapiga hatua huko
 
Achaga masikhara kwenye mambo ya msingi basi. Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa SADC kamfanya nini Kagame zaidi ya kumshindwa na kuishia kumlamba miguu?
Mama bomb kabisa,yaani anamuogopa Kagame ile mbaya,haya mambo alikuwa anayaweza Membe tu
 
Tumepoteza Kwa sababu za kiherehere,tungewaacha M23 hao wangepotea?
Safi kabisa kwa kukiri. Hoja hapa ni tumepoteza wanajeshi wetu ambao wameuwawa na M23( Jeshi la Rwanda).

Rais wetu badala ya kuchukua hatua anaendelea kumchekea chekea Kagame. Ajifunze kwa hawa Wanawake wenzake wanavyodeal na Kagame na Rwanda yake.
 
Hatua gani?
 
Mzalendo wetu kagame piga kazi.wachape wote wanaoleta chokochoko.Nchi yetu ya Rwanda ambayo ni nzuri na inarasilimali za kutosha na maendeleo makubwa wanatuonea wivu majirani Hawa wabaya kama Tanzania na DRC.Ipo siku tutaimeza na Tanzania wakiendelea kutuchokoza.
 
Achaga masikhara kwenye mambo ya msingi basi. Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa SADC kamfanya nini Kagame zaidi ya kumshindwa na kuishia kumlamba miguu?
Yaani kabisa mtu anamtaja Samia kwenye masuala yanayohusu vita tena ambayo iko complicated kama hii ya M23 VS DRC serious? Atatoa msaada gani sasa huyo bibi wa kizanzibar ambaye anaonekana ni mweupe kabisa kwenye ulingo wa kivita maana hata teuzi za mawaziri wake tu wa ulinzi huwa ni vituko?

Tanzania kwa sasa haina kiongozi mwenye charisma ya amri jeshi mkuu, angekuwepo hata hawa M23 wasingesumbua kiasi hiki mpaka kutuweka kwenye wasi wasi na sisi tusiohusika na hiyo vita.

Kiongozi wetu wa sasa anachojua yeye ni kutoa teuzi tu na kufuga machawa tu basi, mambo mazito mazito kama hili la CONGO vs M23 kudeal nalo hawezi ni kumuonea tu.... acha tuendelee kuishi kwa kudra za Mnyezi Mungu(kama wanavyomuita ndugu zetu wavaa kobazi)
 
Kwa Tanzania ni ngumu kwasababu viongozi wetu ni wabinafsi hadi hapo Jamii mafuvu yatakapo rudishiwa akili
 
Kwa hiyo Tanzania hatujapoteza wanajeshi wetu Congo?

Au maisha ya Wanajeshi wetu hayamuumi kama Amiri Jeshi Mkuu?
Hilo chawa halina kitu chochote kichwani zaidi ya kusifia sifia tu ujinga na upuuzi unaofanywa na serikali ya bibi tozo.

Ni dhairi hao wanajeshi hawamuumi Samia maana ni watoto wa walala hoi, yeye watoto wake akina Abdul wanaishi Dubai huko wakitumbua pesa za walipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…