Mwampu malley
Member
- Feb 1, 2013
- 56
- 8
Kwakweli kupona kwa lisu Mungu yupo pamoja naye. Mpigaji alikua anajua anachofanya na sio mbahatishaji.Wewe huelewi, hayo matundu ukiyaangalia yalipigwa kwa mpangilio maalum,
Yaani mpigaji alikua akipiga pale ambako anadhani ndio mwili uko,
Kuanzia kichwani, shingoni, begani, kifuani, tumboni, kiunoni, pajani, miguuni, na kwenye tairi ili gari ishindwe kwenda,
Kupona kwa Lissu ni Mungu tu yuko pamoja nae
Sent using Jamii Forums mobile app