Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Wewe unahusika pia. tunawafahamu wote katika uhalifu huu
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Hiyo ni tekniki mkuu,ili ionekane waliofanya hiyo kitu ni mbumbumbuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wewe bure kabisa ,haya maneno ungeongelea mbele ya haraiki ya watu ungegeuzwa jina!
Huyu tramadol na Coco wana furaha iliyovuka upeo, Mungu wape maisha marefu wadumu na furaha yao dhidi ya damu za watu wanaotofautiana nao kimtazamo.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Hii haitisaidii kumwondoa Magufuli hapa
 
Hawa wanaofanya hivi eakumbuke kila zama zinapita,Tanzania ni yenye bahati,lakini kwa bahati mbaya wajinga wachache wanaona yakwao.

Wakumbuke kila zama zinapita,

Tumeona kuna watu hawajapata nafasi ya kuonge kwa miaka 10 na sasa wamerudi tena na wanapata nafasi ya kuongea,wanatakiwa wajifunze kua miaka 5-10 sio mingi.

Sumu /uhasama inazidi kupamba kwenye mioyo ya watu.

Mambo haya tumeyazoea kuyasikia kwa wenzetu sasa yanaletwa kwa makusudi kwetu.

NAAMINI WEZEE KWA KUTUMIA BUSARA ZENU MTAFANYA KITU KABLA.
 
Unajuaje kama ni watu wenye mafunzo lakini hawakutaka kuua na wala hawakutaka kujulikana kwamba ni watu wenye mafunzo, hivyo wakapiga makusudi kama watu wasio na mafunzo?

Mtu kakaa kwenye gari , utampigaje kwenye tumbo na miguuni na kukosa kichwa kama umetaka kumuua?

Vipi kama hawakutaka kumuua, walitaka kuweka hofu tu?
Ukifuatilia tukio zima lilivyo na mazingira yalivyo na aina ya upigaji ulivyo,

Inakupasa kwenda mbaaali zaidi ya haya tunayoyafikiria.

Hapa ukifuatilia chanzo cha kutaka kuuchukua uhai wa Lissu unaweza baki bumbu wazi. Usiku kucha nilikuwa nawaza na sikupata usingizi kabisaa.

Nimewaza mpaka nikafika mbaaali mnooo.

Toka jana mi nilikuwa na hasira sana na serikali, lakini nikaluweka swala hili kwa undani zaidi, kuna sababu lukuki hapa. Nadhani vyombo vya dolla vikifanya uchunguzi vizuri vitajikita katuka maeneo kadhaa na kona kadhaa hizi fitina zutajulikana

Sema tuliowengi tumekwisha hukumu na hata ukweli ukitika ukiwa kinyume na matarajio yetu hatutokubali katika hili.

KUNA KITU NYUMA YA PAZIA ZAIDI YA TUNAVYOWAZA NA KUONGEA KWA JAZVA. ASANTE MUNGU KWA KUMNUSURU HUYU MTEULE WAKO.

Apone tuu na naamini kuna mengi anayajua juu hili atatwambia ukweli
 
Halafu kwanini leo siku ambayo ripoti ya tanzanite na almasi inatoka? Wanatakakumchafua Rais? Najiuliza tu.
Kweli vyombo vya ulinzi na usalama wakomae nao mpaka wapatikane.
Kuna mengi tutajiuliza mnoo lakini ukweli, utakuja patikana kwa sababu serikali haitaikubari hili.

Nadhani vyombo vya usalama vinaumiza kichwa katika hili
 
au ndio maana tinted ziliruhusiwa eee!!! maana nakumbuka lilitoka tamko la kuzizuia lika kanushwa flan iv!!maana tuna ambiwa gari ilikuwa tinted najiuliza tu ..
Aliona mishe yake itakwama. huyu anaweza kuwa suspect
 
zile risasi zimepigwa na mtaalamu wa bunduki.sababu nitaeleza siku nyingine. kwa sasa mungu amlinde.
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Kwa hiyo utawawajibisha vijana wako kwa kushindwa kufikia lengo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..smg siyo rahisi kupiga risasi zikaelekea eneo moja.

..pia uharaka wa waliofanya shambulizi hilo.

..vilevile mtumia bunduki alivyokuwa amekaa. Inasemekana alikuwa ndani ya gari.

.
Silaha inaonekana kuwa kubwa kwa ukubwa wa matundu
Inaonekana walianza na tairi ili gari isiweze kuondoka
Halafu wakapiga kioo usawa wa kichwa, na kama TL aliinama , risasi za mlangoni zikaanza
 
Back
Top Bottom