Mwampu malley
Member
- Feb 1, 2013
- 56
- 8
Kwakweli kupona kwa lisu Mungu yupo pamoja naye. Mpigaji alikua anajua anachofanya na sio mbahatishaji.Wewe huelewi, hayo matundu ukiyaangalia yalipigwa kwa mpangilio maalum,
Yaani mpigaji alikua akipiga pale ambako anadhani ndio mwili uko,
Kuanzia kichwani, shingoni, begani, kifuani, tumboni, kiunoni, pajani, miguuni, na kwenye tairi ili gari ishindwe kwenda,
Kupona kwa Lissu ni Mungu tu yuko pamoja nae
Na hiyo ndiyo ilikuwa salama yaketramadol MIPANGO YA JAMAA WALITEGEMEA LISU ANGETEREMKA KWENYE GARI, KITENDO CHA LISU KUTOSHUKA ILIWALAZIMU KUFANYA UAMUZ AMBAO HAWAKUUPANGA.
Ulikuwa mpango wao wa kwanza ili wasipate shida kum shoot.Kama tutakumbuka siku kadhaa zilizopita jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam lilipiga marufuku kuweka 'tinted' kwenye vioo vyote vya gari. Wengi tulitii agizo hilo kutokana na kuepuka faini zinazotozwa barabarani.
Sasa kwa tukio la jana kilichosababisha Tundu Lissu kupona pona na risasi ni tinted iliyowekwa kwenye kioo chake ambayo ilifanya mshambuliaji kushindwa kulenga shabaha na kubaki kufyatua risasi hovyo hovyo. 'Tnted' bado tunaihitaji hasa kwa wakosoaji tusio na soni kwenye kukosoa! 'Tinted' imetumia nafasi yake kuokoa uhai.Kuna wakati nilikuwa namuona Tundu Lissu akiwa kwenye gari lisilo na 'tinted' nafurahi kuwa jana alitumia gari lenye 'tinted' lililompa wakati mgumu mshambuliaji!
Tuendelee kumuombea Tundu Lissu!
Watu wasiojulikanaHivi wale walioingia clouds na mabunduki ni akina nani?
Na wale wa bastola na nape
Hivi wale walioingia clouds na mabunduki ni akina nani?
Na wale wa bastola na nape