Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

The first target ilikua kioo nadhani later wakaanza piga bodi ya gari may be baada ya kuona vioo havipasuki
 
Unajuaje kama ni watu wenye mafunzo lakini hawakutaka kuua na wala hawakutaka kujulikana kwamba ni watu wenye mafunzo, hivyo wakapiga makusudi kama watu wasio na mafunzo?

Mtu kakaa kwenye gari , utampigaje kwenye tumbo na miguuni na kukosa kichwa kama umetaka kumuua?

Vipi kama hawakutaka kumuua, walitaka kuweka hofu tu?
 
kuna umuhimu wa wanaharakati km tundu lissu kutumia bullet proof cars na chama kiwawekee ulinzi wa private na uwe madhubuti.... maana wanavowanyanyasa hivi wapinzani ni dhahiri c maskini wa chini hatutakuja kukomboka...nipo nalia zangu km vile wamempiga baba angu so sad
 
Kikubwa Lissu apone. Get well soon Mungu nyosha mkono wako wa uponyaji.
 


Kupigwa random Nayo Ni moja ya mbinu kumficha mpigaji.

Kama wewe ushaamini ni mtu asie na mafunzo. Anaweza akawa na mafunzo kafanya hivyo ili ufikiri anavyotaka ufikiri.
 
Huenda...,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Risasi zaidi ya 20 kushindwa kumuua mtu hata angekuwa kwenye kifaru cha jeshi, huo unaitwa MUUJIZA, na hiyo inaweza kuwa ndio turning point ya wazee wa kiki.

Kwangu utakuwa ni muujiza wa pili wa kitaifa baada ya ile ajali ya Mwakyembe...


unataka kusema kuwa walikuwa wanafanya maigizo mkuu? je, wewe waweza fanya igizo la namna hiyo? kuna ishu nyingine za kusema labda huenda ni kiki ila sio kama hii
 



Jamaa ni wataalam sema tu hawakutaka kumuua Lissu, walitaka kumjambisha tu. Mungu yupo atapona tu na siasa ataacha, kuwaachia kiti maadui zake anaowafunika kupitia kick zake.
 
Kama ni mashifta wasingeweza kufanya reckless mission kama ile. May be ni warning wametoa "kama" ni wao.

Propaganda ni nyingi sana na mianya ya kufanya hujuma ndio kama hiyo

Watch your tongue....you may loose it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…