matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #41
Kama sijasahau inasemekana 70% ya historia ya dunia Na mwanadamu haikuandikwaNchi ya Swiden haijui Historia yake kuanzaia karne ya 12 kurudi nyuma. Na hawana hata kabrasha moja linalohusu matukio ya huko. Hivyo hawajui hata Ufalme wa nchi hiyo ulianzaje anzaje.
Vilaza ni wengi.
KWeli mkuu ndio sababu kubwa ya kuwepo mambo mengi fake ambayo yanakuwa BACKDATED ili kuonekana ya Kale.Huo ni ukweli mkubwa sana mkuu, tukiukubali akili inakuwa shwarii.Kama sijasahau inasemekana 70% ya historia ya dunia Na mwanadamu haikuandikwa