Matunduizi's Journal: mambo mbalimbali ninayojifunza kila siku kutoka katika vyanzo mtambuka

Matunduizi's Journal: mambo mbalimbali ninayojifunza kila siku kutoka katika vyanzo mtambuka

Kijana anapaswa kujifunza kuwahudumia na kwasaidia wazazi wake tangu akiwa nyumbani kwao. Kuoa au kuolewa sio ukomo wa kutoa msaada kwa wazazi. Wasaidie kila uwezo unaporuhusu hadi wanaenda kaburini.
 
MTOTO BILA KUJALI UNAUMRI GANI, UNAJUKUMU LA KUWAFURAHISHA WAZAZI.

"Baba yake mwenye haki atashangilia;
naye amzaaye mtoto mwenye hekima atamfurahia,
Na afurahi baba yako na mama yako;
na afurahi aliyekuzaa"

Mithali 23:24,25
 
Ukimdharau Baba yako na mama yako ULAANIWEEE.

" Na alaaniwe amdharauye baba yake au mamaye;
na watu wote waseme amina"
Kumbukumbumbu la Torati 27:16
 
Back
Top Bottom