matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
Kila mtu unayekutana naye anamaana, anastori yake nzuri ungependa kuisikia na anasomo flani ambalo litakufaa kama ukijifunza''
Heshimu watu wote
Heshimu watu wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sijasahau inasemekana 70% ya historia ya dunia Na mwanadamu haikuandikwaNchi ya Swiden haijui Historia yake kuanzaia karne ya 12 kurudi nyuma. Na hawana hata kabrasha moja linalohusu matukio ya huko. Hivyo hawajui hata Ufalme wa nchi hiyo ulianzaje anzaje.
Vilaza ni wengi.
KWeli mkuu ndio sababu kubwa ya kuwepo mambo mengi fake ambayo yanakuwa BACKDATED ili kuonekana ya Kale.Huo ni ukweli mkubwa sana mkuu, tukiukubali akili inakuwa shwarii.Kama sijasahau inasemekana 70% ya historia ya dunia Na mwanadamu haikuandikwa