matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Sep 6, 2018 Thread starter #61 Kijana anapaswa kujifunza kuwahudumia na kwasaidia wazazi wake tangu akiwa nyumbani kwao. Kuoa au kuolewa sio ukomo wa kutoa msaada kwa wazazi. Wasaidie kila uwezo unaporuhusu hadi wanaenda kaburini.
Kijana anapaswa kujifunza kuwahudumia na kwasaidia wazazi wake tangu akiwa nyumbani kwao. Kuoa au kuolewa sio ukomo wa kutoa msaada kwa wazazi. Wasaidie kila uwezo unaporuhusu hadi wanaenda kaburini.
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Sep 6, 2018 Thread starter #62 MTOTO BILA KUJALI UNAUMRI GANI, UNAJUKUMU LA KUWAFURAHISHA WAZAZI. "Baba yake mwenye haki atashangilia; naye amzaaye mtoto mwenye hekima atamfurahia, Na afurahi baba yako na mama yako; na afurahi aliyekuzaa" Mithali 23:24,25
MTOTO BILA KUJALI UNAUMRI GANI, UNAJUKUMU LA KUWAFURAHISHA WAZAZI. "Baba yake mwenye haki atashangilia; naye amzaaye mtoto mwenye hekima atamfurahia, Na afurahi baba yako na mama yako; na afurahi aliyekuzaa" Mithali 23:24,25
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Sep 6, 2018 Thread starter #63 Ukimdharau Baba yako na mama yako ULAANIWEEE. " Na alaaniwe amdharauye baba yake au mamaye; na watu wote waseme amina" Kumbukumbumbu la Torati 27:16
Ukimdharau Baba yako na mama yako ULAANIWEEE. " Na alaaniwe amdharauye baba yake au mamaye; na watu wote waseme amina" Kumbukumbumbu la Torati 27:16
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Sep 6, 2018 #64 Kumcha Mungu no mwanzo was hekima. hekima Na maarifa vyatoka kwa Mungu
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Sep 6, 2018 Thread starter #65 Da'Vinci said: Kumcha Mungu no mwanzo was hekima. hekima Na maarifa vyatoka kwa Mungu Click to expand... amen
Da'Vinci said: Kumcha Mungu no mwanzo was hekima. hekima Na maarifa vyatoka kwa Mungu Click to expand... amen