Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki ofisini.
Kwa wataalam wa mambo haya tusaidieni, Ni njia gani utumika kuosafisha ofisi na kuondoa imani hizi za kishirikina ili iwe sehemu sahihi kuishi? Kumbuka kwa mazingira ya Utumishi wa Umma ujengi ofisi yako wala huna mamlaka yakubadili chumba Cha ofisi utakaa kwenye ofisi ya mtangulizi wako. Nini kifanyike? Naamini wapo wengi wamekwama kufanya kazi kwa amani baada yakukuta uchafu wakutosha kwenye ofisi mpya.
Hasa tutirieke hapa ili wakurugenzi ,wakuu wa Mikoa, ikulu na maeneo mengine watu watumie mbinu mtakazotoa kuhama hotelini n kwenda kwenye nyumba za serikali, kuingia ofiaini nk.
Nakumbuka Kuna RC Mwanza aligoma kukaa nyumba ya serikali akawa anaishi Malaika beach Resort akisubiri ukarabati kumbe anakwepa miundombinu ya mtangulizi wake