mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Bosi wangu alikuwa akimwaga madawa chumba cha cha pili ofisi yetu ilikuwa haikaliki dawa kama amemwaga kinyesi. Sasa hivi katolewa namwonea huruma anaekuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umepangiwa u-DED wapi?Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki ofisini.
Kwa wataalam wa mambo haya tusaidieni, Ni njia gani utumika kuosafisha ofisi na kuondoa imani hizi za kishirikina ili iwe sehemu sahihi kuishi? Kumbuka kwa mazingira ya Utumishi wa Umma ujengi ofisi yako wala huna mamlaka yakubadili chumba Cha ofisi utakaa kwenye ofisi ya mtangulizi wako. Nini kifanyike? Naamini wapo wengi wamekwama kufanya kazi kwa amani baada yakukuta uchafu wakutosha kwenye ofisi mpya.
Hasa tutirieke hapa ili wakurugenzi ,wakuu wa Mikoa, ikulu na maeneo mengine watu watumie mbinu mtakazotoa kuhama hotelini n kwenda kwenye nyumba za serikali, kuingia ofiaini nk.
Nakumbuka Kuna RC Mwanza aligoma kukaa nyumba ya serikali akawa anaishi Malaika beach Resort akisubiri ukarabati kumbe anakwepa miundombinu ya mtangulizi wake
Uchawi upo kwa wazungu, nakumbuka nilisha wahi ona wazungu wakizika mbuzi mzima.Wafahamu kama mimi na kukaa kwangu kote nje ya nchi katika nchi mbalimbali sijaweza kusikia uchawi upo.
Ila kwa waafrika hio kitu ipo na wao waiendeleza kule na wengine wana maisha duni.
Utasikia mtu kazuka Gambia, Nigeria au Mali kwenda kuchukua "Booster".
Nilikuwa nawaza sana na nikakumbuka ule msemo usemao "uchawi hauvuki bahari",
Wazungu wapiga kazi pesa yaingia na kila mtu anaridhika na alicho nacho.
Lakini, masikini wapo, walo na matatizo mbalimbali wapo na wenye shida zingine wapo.
Ila uchawi wao ni mipango bora ya kusaidiana wao kwa wao kwa masuala kama food bank, charity shops, na asasi nyingi tu ambazo hupewa fedha na serikali zao kuwasaidia wale walo maskini.
Lack of wisdom.Mimi si muumini wa masuala ya shirki ila hutumia utaratibu ambao nimejiwekea na nipo kazini hapa Dodoma mwaka wa tatu sasa tokea nirudi Tanzania kutoka huko duniani.😉
Baada ya kuapishwa kuna kale kawiki ka kujiandaa.
Hivyo hiyo ni fursa ya kutuma wajumbe wakaandae ofisi yako mpya.
Wajumbe wataandaa masuala kama usafi na kadhalika.
Halafu, meza, kabati (filing cabinet) na kiti cha kukalia waweza kusema utaingia navyo vipya.
Computer system huwezi kuibadili ila waweza kubadilisha Monitor na Keyboard na mouse.
Bila kusahau kitasa kuweka kipya.
Halafu watafuta ubani na shehe wa kukufanyia dua kwa mimi na familia. kisha namwachia Mungu.
Dunia imebadilika sana watakiwa kuwa makini sana.
Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki ofisini.
Kwa wataalam wa mambo haya tusaidieni, Ni njia gani utumika kuosafisha ofisi na kuondoa imani hizi za kishirikina ili iwe sehemu sahihi kuishi? Kumbuka kwa mazingira ya Utumishi wa Umma ujengi ofisi yako wala huna mamlaka yakubadili chumba Cha ofisi utakaa kwenye ofisi ya mtangulizi wako. Nini kifanyike? Naamini wapo wengi wamekwama kufanya kazi kwa amani baada yakukuta uchafu wakutosha kwenye ofisi mpya.
Hasa tutirieke hapa ili wakurugenzi ,wakuu wa Mikoa, ikulu na maeneo mengine watu watumie mbinu mtakazotoa kuhama hotelini n kwenda kwenye nyumba za serikali, kuingia ofiaini nk.
Nakumbuka Kuna RC Mwanza aligoma kukaa nyumba ya serikali akawa anaishi Malaika beach Resort akisubiri ukarabati kumbe anakwepa miundombinu ya mtangulizi wake
Office ganBosi wangu alikuwa akimwaga madawa chumba cha cha pili ofisi yetu ilikuwa haikaliki dawa kama amemwaga kinyesi. Sasa hivi katolewa namwonea huruma anaekuja.
[emoji23]huko congo kuna kipindi mjeda fulani alipewa ofisi akaenda kumwaga damu ya kuku kama sio kondoo ofisi nzima huku akidai mtangulizi wake hakuwa mtu mzuri so ana clear haliNakumbuka nikiwa JKT miaka ya giza nilikuwa karani wa Mr RSM, aisee yule mzee alikuwa akisafiri kiti chake nakaa mimi tu. Akikaa yule dingi mwenzie aliyemkaimisha madaraka siku hiyo kikosi kizima ni full taflani utasema mzee anakufa muda huohuo.
Kuna mwanamke hapa Tanzania alinunua mdori myumbani basi magonjwa yakaanza kumuandama. Kanisani wakamshauri auchome moto ule mdoli na alipofanya hivo alipona. Ilidaiwa kuna mzungu huko ulaya aliweka mashetani kwenye mdoliUchawi upo kwa wazungu, nakumbuka nilisha wahi ona wazungu wakizika mbuzi mzima.
Pia kama ushawahi hii series channel e, utagundua kuna wazungu wachawi.
Wao wenyewe wana matunguli yao.Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki ofisini.
Kwa wataalam wa mambo haya tusaidieni, Ni njia gani utumika kuosafisha ofisi na kuondoa imani hizi za kishirikina ili iwe sehemu sahihi kuishi? Kumbuka kwa mazingira ya Utumishi wa Umma ujengi ofisi yako wala huna mamlaka yakubadili chumba Cha ofisi utakaa kwenye ofisi ya mtangulizi wako. Nini kifanyike? Naamini wapo wengi wamekwama kufanya kazi kwa amani baada yakukuta uchafu wakutosha kwenye ofisi mpya.
Hasa tutirieke hapa ili wakurugenzi ,wakuu wa Mikoa, ikulu na maeneo mengine watu watumie mbinu mtakazotoa kuhama hotelini n kwenda kwenye nyumba za serikali, kuingia ofiaini nk.
Nakumbuka Kuna RC Mwanza aligoma kukaa nyumba ya serikali akawa anaishi Malaika beach Resort akisubiri ukarabati kumbe anakwepa miundombinu ya mtangulizi wake
How?😵Lack of wisdom.
Mkuu unakula keki ya Taifa, shikilia hspo hapo wenzako tunataabika hatari, ningekuwa na uwezo ningekuomba connectiom sema hata nkikuomba utasema nakuchunguzaMimi si muumini wa masuala ya shirki ila hutumia utaratibu ambao nimejiwekea na nipo kazini hapa Dodoma mwaka wa tatu sasa tokea nirudi Tanzania kutoka huko duniani.😉
Baada ya kuapishwa kuna kale kawiki ka kujiandaa.
Hivyo hiyo ni fursa ya kutuma wajumbe wakaandae ofisi yako mpya.
Wajumbe wataandaa masuala kama usafi na kadhalika.
Halafu, meza, kabati (filing cabinet) na kiti cha kukalia waweza kusema utaingia navyo vipya.
Computer system huwezi kuibadili ila waweza kubadilisha Monitor na Keyboard na mouse.
Bila kusahau kitasa kuweka kipya.
Halafu watafuta ubani na shehe wa kukufanyia dua kwa mimi na familia. kisha namwachia Mungu.
Dunia imebadilika sana watakiwa kuwa makini sana.
Hapana mkuu.Mkuu unakula keki ya Taifa, shikilia hspo hapo wenzako tunataabika hatari, ningekuwa na uwezo ningekuomba connectiom sema hata nkikuomba utasema nakuchunguza
Basi shikilia sana ulichonacho na chochote kile kinachokupa kipato sababu mtaani hali inatisha hata kazi za kujitolea nazo zimetoweka kama mvua jangwankHapana mkuu.
Mimi nafanya shughuli zangu kama kwa kujishikiza yaani Ad-Hoc.
Natoa ushauri elekezi.
Kwa sasa napata shida kushauri jinsi ya kuwaelewa wazaramo wataka nini.
Pembeni nina vibiashara vyangu vya hapa na pale.
Moja ya kibiashara kangu ninapo pale Tandale kwa Mtogole nakaanga viazi na vipapatio vya kuku, si haba.
Mimi nimepita katika shida mkuu, mtoto wa mkulima ila nikazamia Ulaya miaka hiyooo!, in 90s.
Dah siwezi kumalizia, ila nchi hii ina wenyewe ambao ndo haohao walomkataa Magufuli ambae alitaka sote tufaidi keki ya taifa.
Ila shule nimeenda vya kutosha na niko makini sana na ninachokiandika hapa.