Matunguli au uchawi uliocha ofisini na mtangulizi wako unautoaje kuitakasa ofisi?

Ukiweza Beba tako la kulia la farasi kwenye Brief case yako!!! kwisha habari!
 
Haya mambo yapo,
Yasikie tu kwa wengine.
 
Nunua fenicha mpya hasa kiti na meza, usikalie kiti ulichokikuta..never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…