ccm imeshapoteza dira, hakuna jipya litakaloletwa! Hii nchi inasubiri chama na serikali mpya' if at all there is any hope of improvement!Muungwana huna sababu ya kutokujibu hoja! Mkapa na Kikwete wajitetee, wajisafisha majina yao. Lakini Mkapa anadaiwa bado ripoti ya mali zake baada ya kuwa Raisi, anaogopa
Hivi na wewe bado ni mwanachama wa CCM! Sikio la kufa mwanangu......
Kama kweli imefikia katika hali hii, sioni kama watu wataendelea kukishikilia hiki kivuli cha uhuru, amani na haki. Kweli inauma.Wanagwaya gwaya,kwanza wanahahujumu chadema,mkutano wake wa mwanzo wa kuomba udhamini wa Dr Slaa waliuhujumu hawakuonyesha umati wa wapenzi wa chadema,leo asubuhi kwenye Ufunguzi wa Kampeni jimbo la ubungo wameonyesha vichwa tuu vya Dr Slaa,Mnyika na vichwa vingine vya watu wawiwili watatu karibu na mabati mabovu,kuonyesha kwamba chadema hawapati wapenzi kwenye mikutano yao,yaani nadhani Chadema kwenye kampeni zao waeendelee kuwashitaki TBC kwa kuwahujumu kwa kutokuonyesha wapenzi wao wanaokwenda kuwasikiliza,ovyo kabisa tangu hapo nimetoa kabisa heshima yangu kwa TIDO ni pandikizi la hovyo kabisa,achane wanachii wapembue wenyewe,bwana sio kuvunja haki za msingi za wananchi za kuhabarishwa kwa mizania sawa,ole wenu kibunga kinakuja
hivi uraia w kinana na somalia umefikia wapi?
Kwa maoni yangu naona kitendo hiki alichofanya Tido Mhando kukatisha matangazo kwa madai kuwa yaliyokuwa yakihutubiwa ni 'matusi', kimempunguzia kwa kiasi kikubwa, hadhi ya umakini wake wa kiitaaluma. Nitakuwa muangalifu sana siku zijazo kumuweka mtu kama huyu kuongoza chombo cha habari cha taifa.
These are the behaviours potrayed or seen within Tanzania opposition side parties.A complete antithesis of multiparty system:
That this type of system teaches:
a)How to deal with a small amount of information (sometimes private lives of people) in twisting people's minds at the expense of their ignorance or inability to analyse things.(Though many Tanzanians have seen the facts since the Local Government Elections earlier this year).
b)Being opportunists for a nation in transition.
c)More rumours than facts.
d)Hatrade/personal conflicts and how to spill it over.
e)A nest for people who run from the rulling party sometimes at crucial ethical facts.
It's only when we stop these types of politics will multipartism work in Tanzania and other parts of Africa.Until then CCM stays.
Mazee ulipitia pale Mlimani miaka ya karibuni nini?
Sikufanikiwa kupita pale kaka.