Wanagwaya gwaya,kwanza wanahahujumu chadema,mkutano wake wa mwanzo wa kuomba udhamini wa Dr Slaa waliuhujumu hawakuonyesha umati wa wapenzi wa chadema,leo asubuhi kwenye Ufunguzi wa Kampeni jimbo la ubungo wameonyesha vichwa tuu vya Dr Slaa,Mnyika na vichwa vingine vya watu wawiwili watatu karibu na mabati mabovu,kuonyesha kwamba chadema hawapati wapenzi kwenye mikutano yao,yaani nadhani Chadema kwenye kampeni zao waeendelee kuwashitaki TBC kwa kuwahujumu kwa kutokuonyesha wapenzi wao wanaokwenda kuwasikiliza,ovyo kabisa tangu hapo nimetoa kabisa heshima yangu kwa TIDO ni pandikizi la hovyo kabisa,achane wanachii wapembue wenyewe,bwana sio kuvunja haki za msingi za wananchi za kuhabarishwa kwa mizania sawa,ole wenu kibunga kinakuja