Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Habari ndio hiyo na watu waanaamua kutoa hasira zao kwa njia hiyo walionayo.
Wanaotukana matusi hayo mazito ni wachache ila sio vichaa bali wanamachungu.
Vile vile, angalieni na mjiulize wanao-comment kuunga mkono matusi hayo ni wachache?
Somo; Hawa wanaotukana na wanaochangia kuunga mkono, wanawakilisha sehemu kubwa ya watanzania wenye chuki ya kiwango hicho japo wako kimya.
Ushauri: Chukueni hatua kubadili hali ya mambo, msisubiri mambo yaharibike zaidi kwani hata nyie pamoja na familia zenu mtaishi kama digi digi mitaani.