Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Tangu Simba achapike bila huruma mnamo tarehe 5 November 2023, kumekuwa na kuheshimiana miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Yale matusi yasiyo na sababu pamoja na posts za kukebehiana vimepungua sana.

Nadhani hali hii inapaswa kuendelea na kuzoeleka. Ni kitu kizuri sana.
 
Bado hamjamaliza kuchonga mabango mengine kufurahia kuifunga timu kubwa kuliko nyie???
 
Naunga mkono hoja [emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772]
 
Yani kabisaaa wewe ndiyo baba mwenye familia yake kabisa yanii tena una watoto wapo chuo ukawaza kabisa kabisa uandike ulichoandika,
 
Yani kabisaaa wewe ndiyo baba mwenye familia yake kabisa yanii tena una watoto wapo chuo ukawaza kabisa kabisa uandike ulichoandika,
 
Hata mitaani keiele zimeisha ni mtindo wa kimya kimya wengine wanajifanya kufuatilia mipira ya nje na kukejeli ya nyumbani kwake.
Jf Inawezekana kuna wengine wamebadilisha Id na kuja kivingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…