Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Unaweza ukawa umepost kama utani ila kiukweli mtaani amani ipo hakuna matusi kabisa.vijiwe vya kahawa watu wamekuwa wastaarabu.
Ila mashabiki wa simba wanatia huruma mitaani
Yaaah
 
Hata mitaani keiele zimeisha ni mtindo wa kimya kimya wengine wanajifanya kufuatilia mipira ya nje na kukejeli ya nyumbani kwake.
Jf Inawezekana kuna wengine wamebadilisha Id na kuja kivingine.
Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
 
Nakumbuka kuna timu kombe la dunia walifunga Argentina, kwao walifanya mapumziko.
Km Yanga wameandaa mabango ya 5-1, timu changa kisoka hufanya hivyo km Yanga
Kama umeifunga Simba, Siku Yanga akiifunga Al Ahly mtafanya documentary na itakuwa mapumziko siku hiyo.
Tunachoshukuru ni kupungua kwa matusi
 
Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
Simba mna ukubwa gani?
 
Hii ndo inatakiwa
Ukiona timu baada ya kuifunga timu fulani ikaandaa mabango ujue hiyo timu ni changa kisoka. Ushindi unaokumbuka ni wa Simba na siyo wa timu nyingine.
Piga picha na jichukue video kwenye bango la Yanga ni burudike
 
Simba mna ukubwa gani?
1. Mpk kutengenezewa mabango ni ishara tosha ni timu kubwa.
2. 5 zinazokumbukwa ni za Simba tu.
Simba ni timu kubwa mpk meandaa mabango.
Kwani kuna timu ngapi meifunga 5?
Jipige picha na kujichukua video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1.
Kama Simba meifunga na mkaitengenezea mabango, siku mkiifunga Al Ahly sijui itakuwaje siku hiyo
 
Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
Umeandika kwa hasira Sana, inaonekana umeumia sana wananchi kuweka mabango ya kumkanda kolo aisee daah pole sana.
Ila ni Mambo ya kupita tuu vumilia..
 
Timu kubwa kwenye nini?
Kudhihirisha ukubwa wake walipowapiga utopolo 5 kwa mtungi hawakusheherekea kwani walijua wameifunga timu ndogo,

Utopolo ilipoifunga zile timu goli 5 hawakupika supu na kuvua nguo,

Ila sasa hapo juzi kati ndio tumeona vituko....[emoji23][emoji23][emoji23]

Uto wanalilia level za SIMBA SC ila wenzao imewachukua muda kuset hiyo standard wakae kwa kutulia
 
Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
5imba ndo timu iliyofungwa mechi nyingi na yanga, 5imba ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na yanga. Yanga ina makombe mengi zaidi kuliko 5imba. Au tuachane na historia, YANGA kwa sasa ipo kwenye timu tano bora africa zinazo wania tuzo ya timu bora
 
Sawa
FB_IMG_17004726768884008.jpg
 
Ukiona timu baada ya kuifunga timu fulani ikaandaa mabango ujue hiyo timu ni changa kisoka. Ushindi unaokumbuka ni wa Simba na siyo wa timu nyingine.
Piga picha na jichukue video kwenye bango la Yanga ni burudike
Kipigo cha mbwa mwizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom