- Thread starter
- #41
Ndo hapoMwakarobo mfululizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapoMwakarobo mfululizo
Hii ndo inatakiwaWamekuwa na adabu sana,hata mitaani wamekuwa wapole kabisa
YaaahUnaweza ukawa umepost kama utani ila kiukweli mtaani amani ipo hakuna matusi kabisa.vijiwe vya kahawa watu wamekuwa wastaarabu.
Ila mashabiki wa simba wanatia huruma mitaani
Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?Hata mitaani keiele zimeisha ni mtindo wa kimya kimya wengine wanajifanya kufuatilia mipira ya nje na kukejeli ya nyumbani kwake.
Jf Inawezekana kuna wengine wamebadilisha Id na kuja kivingine.
Hadi rahaHata humu jukwaani wamekuwa wapole sana
Walau matusi sasa mmepunguzaHakuna jipya hapo,hamjarudisha hata kile kipigo chetu cha tano bila,ule ndio ulikuwa ni wakati mwafaka ,na haitajirudia kamwe
Tunachoshukuru ni kupungua kwa matusiNakumbuka kuna timu kombe la dunia walifunga Argentina, kwao walifanya mapumziko.
Km Yanga wameandaa mabango ya 5-1, timu changa kisoka hufanya hivyo km Yanga
Kama umeifunga Simba, Siku Yanga akiifunga Al Ahly mtafanya documentary na itakuwa mapumziko siku hiyo.
Simba mna ukubwa gani?Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
Ukiona timu baada ya kuifunga timu fulani ikaandaa mabango ujue hiyo timu ni changa kisoka. Ushindi unaokumbuka ni wa Simba na siyo wa timu nyingine.Hii ndo inatakiwa
1. Mpk kutengenezewa mabango ni ishara tosha ni timu kubwa.Simba mna ukubwa gani?
Kilichotokea kwa Simba hata Yanga ishatokea.Tunachoshukuru ni kupungua kwa matusi
Umeandika kwa hasira Sana, inaonekana umeumia sana wananchi kuweka mabango ya kumkanda kolo aisee daah pole sana.Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
Kudhihirisha ukubwa wake walipowapiga utopolo 5 kwa mtungi hawakusheherekea kwani walijua wameifunga timu ndogo,Timu kubwa kwenye nini?
5imba ndo timu iliyofungwa mechi nyingi na yanga, 5imba ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na yanga. Yanga ina makombe mengi zaidi kuliko 5imba. Au tuachane na historia, YANGA kwa sasa ipo kwenye timu tano bora africa zinazo wania tuzo ya timu boraUbadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
Sawa5imba ndo timu iliyofungwa mechi nyingi na yanga, 5imba ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na yanga. Yanga ina makombe mengi zaidi kuliko 5imba. Au tuachane na historia, YANGA kwa sasa ipo kwenye timu tano bora africa zinazo wania tuzo ya timu bora
Matusi yapo palepale,yatapungua mkitufunga kuanzia goli 7 na kuendelea,hivyo kazaneni kidogoWalau matusi sasa mmepunguza
Kwamba watumiaji wa mitandao ya kijamii walikua wengi kama leo hii?Hali kama hii ilitokea pia mei 2012
Tukiwa kama pipoSi sio milima tutakutana
Kipigo cha mbwa mwizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona timu baada ya kuifunga timu fulani ikaandaa mabango ujue hiyo timu ni changa kisoka. Ushindi unaokumbuka ni wa Simba na siyo wa timu nyingine.
Piga picha na jichukue video kwenye bango la Yanga ni burudike