Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Tunaweza kusema ngebe kwishaaaπŸ€ͺ
 
Nafikiri mashabiki wa Simba hawaelewi maana ya mabango ya Yanga. Yanga ilizifunga timu tatu magoli matano kabla ya Nov 5. Mashabiki wa Simba wakadai hizo ni timu ndogo.
Nabango ya Yanga ni kejeli kwa Simba kwamba wao vile vile wamefungwa goli tano hivyo nao ni timu ndogo! Kudhihirisha hilo wakafukuza na kocha kabisa na kusingizia kuna baadhi ya wachezaji walihongwa! Typical reaction ya timu kama Coastal au Azam.
Simba fans are suffering delusion of grandeur. Waonewe huruma.
 
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…