Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Maufundi sijui Jay mondy, dullyvany wote mavi tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah kama Joti anakuchekesha hata Sumaku atakuchekesha,sema Sumaku hayupo exposed sana kama hawa wengine. Mi napenda comedians ambao hawaigizi matukio wala kufanya upumbavu, wawe realistic ila nikiwaskiliza tu nicheke!Mimi hapo Joti tu, brother K kwangu wala hana maajabu nampenda na yule dada kiziwi
Yule dem huwez amini mie sioni hata anachochekesha yani maybe anachekesha but kwangu hell no! Tafta clip ya joti ile ya Waraka wa baba ufunge nayo siku! Joti walau anaweza kupokea kijiti cha hayati Mzee Majuto walahi sijaona mpinzani!Joti na yule Dada kiziwi na tin white kwangu ndio wachekeshaji
Wako Realistic hao jamaa wote, mi sipendi comedians wa kuigiza matukio kama Idris Sultan ama kufanya utoto eti ndio comedy! Nataka mtu awe realistic na still niweze kufurahia! Joti anakidhi kwa 90%Joti na brother K hata mimi nakuunga mkono
Hebu angalia hapa halafu uweze kulinganisha na hicho kitu alichopost mtoa mada, jaribu kumfuatilia zaidi huyu bwana Youtube naamini kuna cha pekee utakiona kwake!Bongo sijaona mchekeshaji hata mmoja wote chenga tu.....kwanza kumchekesha mtanzania mpaka acheke sio rahisi
Sababu ana stress nyingi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bongo sijaona mchekeshaji hata mmoja wote chenga tu.....kwanza kumchekesha mtanzania mpaka acheke sio rahisi
yule kiziwi huwa dishi limecheza, unamwambia hiki ye anakujibu hiki alafu kwa kujiamini.Mimi hapo Joti tu, brother K kwangu wala hana maajabu nampenda na yule dada kiziwi
Huyo no 2 huwa ni hatari, sema watu hawajawahi kumzingatiaSijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K
Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Sumaku yule jamaa fundi sana sema hajaelewa mchezo wa social media vizuriSijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K
Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Wale comedians wa insta sijui Jaymond,Dullvan,Mr Beneficial, etc hamna kitu, comedian wa matukio si comedianWako Realistic hao jamaa wote, mi sipendi comedians wa kuigiza matukio kama Idris Sultan ama kufanya utoto eti ndio comedy! Nataka mtu awe realistic na still niweze kufurahia! Joti anakidhi kwa 90%
Ringo na Tin white umewasahau vipi?Sijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K
Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Jamaa yupo vizuri sana sema hajawa exposed kama hawa wengine!Huyo no 2 huwa ni hatari, sema watu hawajawahi kumzingatia