Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Sumaku anajua sana ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khantwe Yale mashati ya brother K kweli hayakusisimuiMimi hapo Joti tu, brother K kwangu wala hana maajabu nampenda na yule dada kiziwi
Sumaku hata Mimi namkubali sanaSumaku anajua sana ..
Itakuwa Mengi anawakatazaJamaa hawarushagi clip mtandaoni sijui kwanini!
WalaaaKhantwe Yale mashati ya brother K kweli hayakusisimui
Brother K fala sanaaaJoti na brother K hata mimi nakuunga mkono
Mimi pia Brother K huwa hanichekeshi, Majuto amenichekesha vya kutosha sina Deni nayeKila mtu ananyege zake za kucheka.
Binafsi bro K sijawahi kucheka zaidi ya kukasirika akianza kuongea.
Mzee majuto na Kinyambe (Rip) ndo walikuwa wananinyegesha
Majuto mwisho wa reli alikuwa .. Brother K labda kama hufatilii futuhi ila naee ni balaaaa yanii...!Mimi pia Brother K huwa hanichekeshi, Majuto amenichekesha vya kutosha sina Deni naye
Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood.
Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker .
Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande