Mau fundi ni mchekeshaji Bora kuliko wote tz

Mimi hapo Joti tu, brother K kwangu wala hana maajabu nampenda na yule dada kiziwi
Hahahah kama Joti anakuchekesha hata Sumaku atakuchekesha,sema Sumaku hayupo exposed sana kama hawa wengine. Mi napenda comedians ambao hawaigizi matukio wala kufanya upumbavu, wawe realistic ila nikiwaskiliza tu nicheke!
 
Joti na yule Dada kiziwi na tin white kwangu ndio wachekeshaji
Yule dem huwez amini mie sioni hata anachochekesha yani maybe anachekesha but kwangu hell no! Tafta clip ya joti ile ya Waraka wa baba ufunge nayo siku! Joti walau anaweza kupokea kijiti cha hayati Mzee Majuto walahi sijaona mpinzani!
 
Mimi marehemu kinyambe,joti na mpoki enzi zake bado hela haijawatembelea walikuwa si mchezo
 
Wako Realistic hao jamaa wote, mi sipendi comedians wa kuigiza matukio kama Idris Sultan ama kufanya utoto eti ndio comedy! Nataka mtu awe realistic na still niweze kufurahia! Joti anakidhi kwa 90%
Wale comedians wa insta sijui Jaymond,Dullvan,Mr Beneficial, etc hamna kitu, comedian wa matukio si comedian
 
Sijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K

Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Ringo na Tin white umewasahau vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…