Hawajinivutia kuwafutiliaRingo na Tin white umewasahau vipi?
Huko sahihi kwa upande wakoHawajinivutia kuwafutilia
We nae mi si nimekwambia Max ndio founder wa Jf...eeeh kwani umesemaje sijakusikiayule kiziwi huwa dishi limecheza, unamwambia hiki ye anakujibu hiki alafu kwa kujiamini.
anahamisha(ga) mada boya yule
Wako Realistic hao jamaa wote, mi sipendi comedians wa kuigiza matukio kama Idris Sultan ama kufanya utoto eti ndio comedy! Nataka mtu awe realistic na still niweze kufurahia! Joti anakidhi kwa 90%
Hahahah kama Joti anakuchekesha hata Sumaku atakuchekesha,sema Sumaku hayupo exposed sana kama hawa wengine. Mi napenda comedians ambao hawaigizi matukio wala kufanya upumbavu, wawe realistic ila nikiwaskiliza tu nicheke!
Watanzania tunachekeshwa na wakenyaBongo sijaona mchekeshaji hata mmoja wote chenga tu.....kwanza kumchekesha mtanzania mpaka acheke sio rahisi
unasema jf (jafo) ana ziara kijijini kwetuWe nae mi si nimekwambia Max ndio founder wa Jf...eeeh kwani umesemaje sijakusikia
Huyu sumaku halafu yuko serious, sasa ukicheki maneno anayayotoa.Sijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K
Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Mizengwe wa ITV hawa jamaa sijui kama wapo mitandaoni.Huyo sumaku yupo insta?
Ndio mchekeshaji mahiri anavyotakiwa awe vile, yuko na sura ya kazi ila ukimuangalia na kumsikiliza tu unavunjika mbavu! Hao ndio watu wanaoweza kunichekesha mimi ila sio wale wa matumbo tumbo, kujitia ulemavu wa ulimi na maskio ama wanaotumia kejeli kuchekesha watu kama Idris sultanHuyu sumaku halafu yuko serious, sasa ukicheki maneno anayayotoa.
Jamaa hawarushagi clip mtandaoni sijui kwanini!Mizengwe wa ITV hawa jamaa sijui kama wapo mitandaoni.
Sidhani kama yupo kule, jamaa flani serious hivi! Labda ujaribu kucheki mizengwe kama wana page kule!Huyo sumaku yupo insta?
RIP KING MAJUTOBongo sijaona mchekeshaji hata mmoja wote chenga tu.....kwanza kumchekesha mtanzania mpaka acheke sio rahisi
Mimi pia sikuwahi kuona kuchekesha kwake huyu babu. RIPEti kuna watu walikua wanachekeshwa na king majuto.
Tanzania bana.
πππππ kumchekesha mbongo ngumuBongo sijaona mchekeshaji hata mmoja wote chenga tu.....kwanza kumchekesha mtanzania mpaka acheke sio rahisi
labda wazaramo walichekaMimi pia sikuwahi kuona kuchekesha kwake huyu babu. RIP