Mau fundi ni mchekeshaji Bora kuliko wote tz

Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood.
Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker .
Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
Ingependeza kama huyo bint angevaa jezi ya bendera ya taifa(Tz), af mwisho wa siku ilibd mpiga pushap ndo amchukue
 
hakuna mchekeshaji anayeweza kuchekesh siku zote ila tunaangalia mara nyingi fundi anastahili tuzo ya mchekeshaji bora akifuatiwa na ringo na tin wait

Kuna hizi pia fundi kacheza kama mr bean sijui kama mtu atapinga kuwa jamaa anajua
 
Sijaona cha kuchekesha hapo, binafsi mtu pekee anaeweza kuweka tabasamu langu usoni kwa sasa ni:
1. Joti
2. Sumaku
3. Brother K

Wengine wote waliobaki michosho tu, waende shule za msingi ndio kuna wa kuchekea wanayoyafanya!
Huyu sumaku ndo comedian pekee anayenifanyaga nicheke afu kidogo na yule mkongo ila hawa akina majuto and the rest sijawai cheka
 
Huyu jamaa anaweza. Namkubali.
Ila bongo wengi ni wapiga kelele tu si wachekeshaji. Uropokaji ndicho wanachoweza
Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood.
Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker .
Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
 
Bongo maigizo bado sana kuanzia dialogue mpaka uigizaji wenyewe hauko vizuri kabisa yani
KUNA PICHA MOJA INAZUNGUKA MITANDAONI YA BONGO MOVIE, MDADA YUKO KWENYE JENEZA KAMA MFU LAKINI KATOA MACHO KAMA KAMFUMANIA MUMEWE
 
Hebu angalia hapa halafu uweze kulinganisha na hicho kitu alichopost mtoa mada, jaribu kumfuatilia zaidi huyu bwana Youtube naamini kuna cha pekee utakiona kwake!
[/QUOTE
best in town JOTI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…