Mau fundi ni mchekeshaji Bora kuliko wote tz

Kila mtu ananyege zake za kucheka.
Binafsi bro K sijawahi kucheka zaidi ya kukasirika akianza kuongea.
Mzee majuto na Kinyambe (Rip) ndo walikuwa wananinyegesha
 
Speaking of Maufundi binafsi ananichekesha, ila hawezi kuwa kwenye top 3 yangu, labda kwenye top 10 anaweza kushika no 8 hivi
 
Kila mtu ananyege zake za kucheka.
Binafsi bro K sijawahi kucheka zaidi ya kukasirika akianza kuongea.
Mzee majuto na Kinyambe (Rip) ndo walikuwa wananinyegesha
Mimi pia Brother K huwa hanichekeshi, Majuto amenichekesha vya kutosha sina Deni naye
 
Mimi pia Brother K huwa hanichekeshi, Majuto amenichekesha vya kutosha sina Deni naye
Majuto mwisho wa reli alikuwa .. Brother K labda kama hufatilii futuhi ila naee ni balaaaa yanii...!
 
Kuna muvi moja sijui inaitwaje, Mtanga ameigiza kama dokta anawapima ukimwi kina Sumaku, Masanja,nk. Inachekesha sana
 
Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood.
Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker .
Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
Aah mkuu kwa level unayomuweka hapana
Mcheki Ringo,Joti,Tin White hizo grades wanastahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…