Maua Sama atachanganyikiwa sana kwa jambo hili

Inahitaji masiki matatu na macho matatu kuweza kujua kipaji cha Maua Sama.....one of the best vocals nilizowahi kuzisikia kwa wadada hapa bongo!! Msikilize kwa This Love na Ben Pol utajua namaanisha nini....[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwa shishabikii miziki ya duniani, ila kwa mafanikio ya kawaida maishani, huwa sipendi kukatisha tamaa vijana wanaopambana, imagine ni binti yako anapambana kutafuta umaarufu na kipato afu mtu anakuja kumdharau na kumkatisha tamaa mtandani.
 
Daaah ... aje hapa 🙌🙌🙌🤝🤝🤝
 
Back
Top Bottom