gaba peter
Senior Member
- Jan 7, 2016
- 178
- 65
Au sio ilimradi uonekane na ww ni thinkers.pole sanaNiseme tu ukweli, huyu msichana uwezo wake wa kuimba ni wa kawaida sana japo kuna baadhi ya watu wachache wanampa sifa asizistahili.
Na ashukuru Mungu hii ngoma ya iokote imempa ulaji kwa kiasi fulani lakini hatoweza kudumu sokoni kwa muda mrefu na atapata msongo wa mawazo sana na iokote yake ,kwanza imeshaanza kuchuja.
Ninatabiri hatofika mbali kimuziki, huu ni upepo wa muda mchache.
View attachment 910838