Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe nawe umeona Mungu kakanyima kila kitu ila koromeo la kuimba amekapa unataka anyimwe kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe nawe umeona Mungu kakanyima kila kitu ila koromeo la kuimba amekapa unataka anyimwe kila kitu
Alikuwa anapotea kutokana na kujiandikia nyimbo ila hilo alishaligundua anasema akianza andika anajikuta anaandika vingereza vingi so ni bora aandikiwe na akina Ibra Nation na wengineMnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Binti wa watu anajitaidi kwa kweli, ingawa kuna time uwa anapotea, kutokana na haiba yake ya kuiga iga miondoko furaha hivi ya ki...hapo ndipo anapoalibugi. Nje ya hapo kiukweli unafanya vizuri tu....
Bip up kwake.
Alikuwa anapotea kutokana na kujiandikia nyimbo ila hilo alishaligundua anasema akianza andika anajikuta anaandika vingereza vingi so ni bora aandikiwe na akina Ibra Nation na wengine
Hii naikumbuka sanaLet Them Know
This Love
Sisikii
Mahaba Niue
Katu Katu
Main Chick
Iokote
Hizi ni baadhi ya nyimbo zake kali, tuache majungu huyu binti ana kipaji na sauti ila anakosa management nzuri!
Maua Sama Featuring Ben Pol - This Love (Official Video)
Maua Sama - Nakuelewa ( Official Music Video )
Dah inaweza chukua zaidi ya miaka mitano kupata megahit kama MUZIKI wa Darasa, kidogo KWANGWARU imejitahidi kuukaribiaWacha tusubiri, kwani "muda" utasema yote na tutapata majibu.
ila kuhusu uimbaji, MAUA SAMA anaimba vizuri tu mbona (sioni tatizo ktk uimbaji wake sabb binadamu hatufanini na ni vizuri kw MAUA kuwa na mtindo wake wa uimbaji ambao ni tofauti na wadada wengine)
Pia kitu kingine, kutengeneza hit-song kunataka mengi sana na wala sio sauti tu pekee.
KUNA WAKATI WIMBO UNAKUWA NI MZURI NA UNA-TREND BALAA, PIA KUNA WAKT WIMBO NI MZURI NA HAU-TREND KIVILE...
(km ni kupangilia misauti tu na kuimba "vokali za nyau" basi watu km BARNABA au Q-CHIEF wangekuw na hit-song kila leo, maana jamaa wamebarkiwa sauti, na sio siri, jamaa wana vokali kaliii kuliko most of the current trending singers of the Bongo Flava mainstream music)
"Mega Hit-songs" huwa hazinaga formula, unaweza ukaimba kw kufata Chords na Musical Notes zoteeee duniani kimuziki km European Classical Music (Mfano mzuri wa uimbaji wa kupanglia ala za muziki na sauti kwa mtindo wa European Classical Music ni ule Wimbo wa "UEFA CHAMPIONS LEAGUE") alafu na bado wimbo wako ukabuma vile vile...
Na ukashangaa mtu anaweza akaimba "mabata madogo" na aka-hit mpaka basi.
NB: Mega hit-songs hazinaga formula, wimbo unaweza kuwa mzuri na vocal kaliii za Keys na Pitch za juu km nyau, na bado wimbo huo usiwe "mega hit-song",
Na kuna wimbo ukauona wa kawaida na ukashangaa umepenya kila kona, kiasi kwamba mpk mtaani ukapewa jina la utani na kuitwa " WIMBO WA TAIFA".
Mfano "Muziki" ya Darassa. ile haikuwa hit-song bali it was a "mega hit-song".
Songs km zile hutokea mara chache chache sanaaa ktk jamii.
Sina shaka na Uwezo wa MAUA SAMA kimuziki na kiuimbaji.. Sabb watu hatufanani sauti,
Conclusively, let MAUA SAMA be MAUA SAMA (let her do what she does best), kikubwa ni kutoa muziki mzuri na kujenga fanbase yake kwanza, One step at a time, alafu hit-songs zitakuja tu akizi-OKOTA.
Mkuu unamaana jamaa anatamani angekuwa na jinsia ya maua sama 😂😂😂😂😂😂 wallah nmecheka kwa sautiHata ungemjua tangu tumboni mwa mama yake, lakini andishi lako linaonesha unasukumwa na wivu, tena wivu wa kijinsia.!
Pole sana, nimeanza kumjua huyo maua tangu yupo tht.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una roho ya dada ako..mwanaume kumuombea njaa binti mdogo anayetafuta kwa njia ya halali ni kaugonjwa flani hivi
Mbona dada mzuri tuu mkuu,unamtoa kasoro binadamu mwenzako namna hii!!wewe Mungu amekupa nini cha ziada?Wewe nawe umeona Mungu kakanyima kila kitu ila koromeo la kuimba amekapa unataka anyimwe kila kitu