Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kumbe main chick kaimba yeye pia. Let them know inanikimbusha mbali. Naipenda mpaka kesho hiyo nyimbo
Lets Them Know
This Love
Sisikii
Mahaba Niue
Katu Katu
Main Chick
Iokote
Hizi ni baadhi ya nyimbo zake kali, tuache majungu huyu binti ana kipaji na sauti ila anakosa management nzuri!
Maua Sama - Nakuelewa ( Official Music Video )