Anajua sana kuimba huyu mdada
AiseeMaua sana ni mashine, ukweli tu ni kuwa sijawah sikiliza wimbo wa Nandy mpaka mwisho achilia mbali kuurudia, japo huwa naskiliza sana wimbo alioshirikishwa na Bright, ila Maua sama kuna wimbo wake wa Sisikii nafkri nimeusikiliza zaidi ya Mara 100, na nimepakua instrumental yake kabisa , Ema ze boy nilimwelewa sana, wimbo upo romantic sana....