Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Hana sura mbaya kihivyo mbona yupo poa tuu, utakua na makengeza

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Nmemuacha ushirika akiwa anajiunga shahada kutoka diploma, yupo charming ni mzuri mbona , enzi hzo alikuwa na chunusi nyngi sana na spot usoni sijamwona kama miaka 4 hivi ila inshort she s cute
I know her personally na nimemaliza nae chuo...she is cute..chunusi ziliishaga mda sana..I guess mwaka wa kwanza au wa pili.
 
Sijawah kupenda video zake Audio zake ninazo hadi za voice call.
I like that girl from my bottom heart.
 
Aman iwe nayi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu

Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye familia anayotoka au kutoka kwa wadau mbali mbali wa mziki

Maua sama ni msichana mpole na mchangamufu sana ni msanii ambaye anasimamiwa na mwanake kama meneger


Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzuri sana ambao ukiusikia lazima ukuvute ni mdada ninaye mpenda sana kimwili na kiroho

Kafanikiwa sasa anasikika hadi nje ya mipaka ya tanzania nimbunifu sana kwenye mziki na ana ngoma kibao ambazo katoa na zote ni kuntu namtabiria kufika kimataifa


Zaman nilikiuwaga NANYUPU


LONDON BABY
aiseeee
 
Aliimba "Sisikii" mpaka nikajisikia kama ananiimbia mimi vile.

Na hivyo ndivyo muimbaji anavyotakiwa kuimba.
 
Sura na kipaji wapi na wapi? Mbona unaharibu mada.

Kama kipaji anacho,jambo la msingi ni kuunga mkono kazi zake tu. Sura kila mtu kaumbwa kama alivyo kwa mapenzi ya Mungu. ...... Hata hivyo binadamu mzuri na mbaya wa sura ni fikra zetu tu.....kila mmoja ni mzuri
 
Kutokana na imani ya dini yang Hakuna mbaya wala mwenye sura mbaya kwa sababu naamini binadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu hakuna aliye jiumba wala hakuna alie jileta duniani nitabia chafu na kukosa utu na malezi uliokulia mleta uzi huu.
 
Back
Top Bottom