Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Maua sama nyota ing'aayo kwenye giza nene

Kwani msanii lazima uwe na sura mzuri? Mimi naona sura ya msanii ni lyrical contents zake yaani mashairi na mpangilio,melody na ujanja katika mziki.Hio nsio sura yake.Wewe kama una angalia sura nzuri ya msanii pole sana kwa huo Utu wako.Na kwa taarifa yako,Maua Sama hana sura mbaya,labda kama hujui definition ya sura mbaya.
 
Hivi kati ya MAUA SAMA,RUBY na NANDY nani anajua zaidi? Panga hyo list.
 
Ulivyosema ana Sura mbaya nimetokwa mchozi! Ubaya wa sura yake ni upi mkuu? Au kwa vile ni mweusi? Ungekua karibu yangu tungepigana vibaya...
 
Ulivyosema ana Sura mbaya nimetokwa mchozi! Ubaya wa sura yake ni upi mkuu? Au kwa vile ni mweusi? Ungekua karibu yangu tungepigana vibaya...
Mimi sipiganag na vitoto kama nyie ningekuzabua makofi ya puan ma mdomon had ushike adabu yako
 
a44c001d7fe8d727342049869c4a985f.jpg

5116ce23dbbc95fcb33b7d47d719e2ee.jpg

Mkuu wanaposema uzuri wa mtu upo machoni mwako wewe muonaji hawakukosea. Ila hii sura karibia kila mtu ameridhika iko vizuri bhana. Hata muziki wake ni mzuri pia.

Pengine wewe utakua na face blindness.
 
Acha zarau ww unajua sura mbaya?,au we mzr?tuwe na ustaarabu ye amekuwa nyani mpka awe mbaya.
 
Kwani msanii lazima uwe na sura mzuri? Mimi naona sura ya msanii ni lyrical contents zake yaani mashairi na mpangilio,melody na ujanja katika mziki.Hio nsio sura yake.Wewe kama una angalia sura nzuri ya msanii pole sana kwa huo Utu wako.Na kwa taarifa yako,Maua Sama hana sura mbaya,labda kama hujui definition ya sura mbaya.
Anazingua...uyo ye mzr mpka aite mwenzie mbaya?;
 
Aman iwe nayi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu

Mziki wa sasa umekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wadada maana hukumbana na vikwazo vingi sana either kutoka kwenye familia anayotoka au kutoka kwa wadau mbali mbali wa mziki

Maua sama ni msichana mpole na mchangamufu sana ni msanii ambaye anasimamiwa na mwanake kama meneger

Huyu dada anasura mbaya sana kusema ukweli lakina ana mziki mzuri sana ambao ukiusikia lazima ukuvute ni mdada ninaye mpenda sana kimwili na kiroho

Kafanikiwa sasa anasikika hadi nje ya mipaka ya tanzania nimbunifu sana kwenye mziki na ana ngoma kibao ambazo katoa na zote ni kuntu namtabiria kufika kimataifa

Zaman nilikiuwaga NANYUPU

LONDON BABY
Mkuu naomba uedit huu uzi wako,umeanza vzr ila umeharibu hapo eti ana sura mbaya sana,acha kukosoa uumbaji wa Mungu mkuu
 
Sura na kipaji wapi na wapi? Mbona unaharibu mada.

Kama kipaji anacho,jambo la msingi ni kuunga mkono kazi zake tu. Sura kila mtu kaumbwa kama alivyo kwa mapenzi ya Mungu. ...... Hata hivyo binadamu mzuri na mbaya wa sura ni fikra zetu tu.....kila mmoja ni mzuri
Face is the money maker.
 
Back
Top Bottom