Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #21
Ni sawa mkuu ingeleta maana lakin sikuwa na nia mbaya niliongea hali halis maana namujua huyu dadaAndiko lako lisingegusia sura lingekosa maana???
Mungu alivyo wa ajabu hao wanawake ambao ni wazuri katika macho ya wengi (hata macho yangu pia) asilimia kubwa hawana la maana mjini wanaamini muonekano kuliko walichonacho ndani wanaishia kuliwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app